Wanaume tuwe makini kuchagua mke

Wanaume tuwe makini kuchagua mke

Ajue kupika...nimejifunza kupika ili mume wangu asije kupata tabu
Awe mjuzi wa mambo ya ndani,sio ajue kukatika tu...bali kuikatikia pia

Awe na ujuzi wa hata moja ya jambo moja la kidunia mfano kubet
Hahahahahaha yani wewe
 
Siku hizi vijana wanachooangia ni chura tuu
 
Hapo kuikatikia una maanisha mama kilari
Ajue kupika...nimejifunza kupika ili mume wangu asije kupata tabu
Awe mjuzi wa mambo ya ndani,sio ajue kukatika tu...bali kuikatikia pia

Awe na ujuzi wa hata moja ya jambo moja la kidunia mfano kubet
 
Duu kukatika
Hahaah nimependa hapo kuikatikia jomonii[emoji39]mwanamke hata uwe una wokovu wa milenia mambo matam ya chumbani na mumeo hayahusiani na wokovu kabisaa..mauno feni muhimu[emoji108]unaikatikia mpaka inabaki ndani,haiwezi kutoka nje[emoji41]
 
Back
Top Bottom