Wanaume tuwe makini kuchagua mke

Wanaume tuwe makini kuchagua mke

Ajue kupika...nimejifunza kupika ili mume wangu asije kupata tabu
Awe mjuzi wa mambo ya ndani,sio ajue kukatika tu...bali kuikatikia pia

Awe na ujuzi wa hata moja ya jambo moja la kidunia mfano kubet

Hahahaha hata kubeba nzege pia
 
Wakati wa uchumba huwa wanakuwa na sifa zote hizo. Ila baada ya kufunga ndoa na kuishi wote kwa zaidi ya miaka mitatu, wengi wao wanabakia na sifa namba 2 tu. Uvumilivu unachukua nafasi yake.

Hapa ndo utata
 
Hahaah nimependa hapo kuikatikia jomonii😋mwanamke hata uwe una wokovu wa milenia mambo matam ya chumbani na mumeo hayahusiani na wokovu kabisaa..mauno feni muhimu👌unaikatikia mpaka inabaki ndani,haiwezi kutoka nje😎

Hayo mengine nyongeza ya bidhaa ila mambo ya ndani ndio yenyewe😅
 
Back
Top Bottom