Wanaume tuwe makini kuchagua mke

Wanaume tuwe makini kuchagua mke

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shida inakuja, huyo anayechagua yeye ana sifa za kuwa mume?

Mpaka nmeandka hii thread me ni husb material kama unazo hzo sifa tutangaze nia tu
 
Pesa apewe ila isiwe too much atakuw omba omba sasa
Umesema kupenda Pesa...
Sio kupewa pesa.
Kwa mtazamo Wangu mwanamke kupenda pesa ni jambo jema tu.Kama wanaume wanavyozipenda.Ila swala la kupewa pesa ni Lingine.
 
Umesema kupenda Pesa...
Sio kupewa pesa.
Kwa mtazamo Wangu mwanamke kupenda pesa ni jambo jema tu.Kama wanaume wanavyozipenda.Ila swala la kupewa pesa ni Lingine.

Kupenda sio shida, ila kama unampenda huwez omba sana
 
Ajue kupika vizuri
Ajue kukaribu wageni hata ambao hawajui
Awe anaye tambua kwamba mwili wake ni mali ya mume wake kwa starehe zake.
Ajue kucheka na kutoa tabasamu hata wakati amehuzunika.
Wanaume tuwe makini, tunakumbushana tu!!

KUCHAGUA MCHUMBA (Mke)
1: awe mcha Mungu
2: awe waimani kama yako
3:mkarimu
4: mchapakazi
5:mwenye mapenzi ya kweli asiye penda pesa zako tuu
6:asiye mgomvi
7:awe safi kiroho na kimwili pia
8:mwenye mapambo ya rohoni

Kama unazingine embu zitupie uzi ukamilike!!
 
Back
Top Bottom