Hiyo namba 3 ndo inakuwaga ngumu mno kwa wengi, ndo maana unashangaa jamaa ana mke mzuri mtulivu mcha Mungu lakini anachepuka. shida hiyo namba tatuWanaume hawaridhikagi sijui kwanini
Hiyo namba 3 ndo inakuwaga ngumu mno kwa wengi, ndo maana unashangaa jamaa ana mke mzuri mtulivu mcha Mungu lakini anachepuka. shida hiyo namba tatuWanaume hawaridhikagi sijui kwanini
Ok bossIzo comments tu wala hazimaanishi chochote
Hahah hvi wewe hivyo vimaneno vya mtaani anakufundishaga nani? ?
Nafundishwa na wahuni [emoji28][emoji28]
Namtaka manka wa kichaga jioni anaulizaga umeingiza sh ngapi????Asipopenda pesa mtakuwa maskini sana.