Wanaume tuu wataelewa

Jama jama jama acheni ubaguzi jama. Ina maana huyo dada wa kushoto hamjamuona kabisaaaaaa!!? Ndomana dadazetu siku hizi wanameza mividonge ya kunenepesha chura na ku-bleach ngozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…