Wanaume tuu wataelewa

Wanaume tuu wataelewa

Wanaume pekee ndio wataelewa kwa nini jamaa kaweka mikono mifukoni
a9ea46e17c351b8e3538dd1350dae99e.jpg
Kilele cha ujinga wa wanaume! Eti wanaume tu ndio wataelewa.Wanawake wote tunauelewa huo ujinga na ukichaa wa wanaume!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] asante kwa
matusi
Sio matusi geni.....sio rahisi kunenepa kalio tu, mara nyingi linaendana na tumbo,mashavu in short mwili mzima unanenepa lakini tumbo ndio linaonekana kwa sababu linachukiza!
 
Sio matusi geni.....sio rahisi kunenepa kalio tu, mara nyingi linaendana na tumbo,mashavu in short mwili mzima unanenepa lakini tumbo ndio linaonekana kwa sababu linachukiza!
ngoja nianze kupunguza tumbo
 
Wapi shekhe kipozeo !!
Mizigo kama hii unaitafuna na mifupa kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom