Wanaume tuu wataelewa

Natamani ungekuwa mwanaume ili uuone huo ukichaa na ujinga wao.
Kaka sikia, kama ingetokea muujiza nikageuzwa mwanaume siku hiyohiyo ningekunywa sumu ya panya niishie zangu kuliko kugeuzwa kiumbe mjinga kiitwacho mwanaume.Sitaki kusikia kabisa!

Miss NaiFlatscreen
 
Ninayo ya Mme wake ni mwanajeshi sijui ana cheo gani ila kachafuka mabegani vipi nikupe umuombe namba ya mkewe?
Hahahahahaha wee toa number habari ya mumewe sio issue
 
Mkuu naona kwa hapa kwetu daslam utahangaika michemsho ya mapank na bia za offer imewaathiri
 
Kaka sikia, kama ingetokea muujiza nikageuzwa mwanaume siku hiyohiyo ningekunywa sumu ya panya niishie zangu kuliko kugeuzwa kiumbe mjinga kiitwacho mwanaume.Sitaki kusikia kabisa!

Miss NaiFlatscreen
Walikufanyaje mwanaume? Wasamehe tu ndio baba zako hao.
 
Hahaha usiwaue mkuu, japo ni kweli wanawake wengi wanavitambi kuliko sie wanaume aisee
utadhani kuna mashindano ya vitambi kati ya wanaume na wanawake.
 
utadhani kuna mashindano ya vitambi kati ya wanaume na wanawake.
Kinachowasumbua ni huko kutaka 50 kwa 50 mengine wapotezee tu[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…