kinyama nje
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 1,838
- 2,487
umesahau kuwapa sifa yao wana piga ngumi na kuna wakabaji mabondoa.
wapi karama nyirawila
wapi mada maugo
rip thomas mashari
wapi karama nyirawila
wapi mada maugo
rip thomas mashari
Hapa viroba vitakuwa vimehusika 100%nikusahihishe mkuu. Katika kiswahili hamna neno "maadili mema" MAADILI NI MAADILI.
Aidha hamna neno "dhehebu" kuna madhehebu. Mfano huwez kusema dhehebu la mashahidi wa yehova hapana. Cheq chin hapo iyo ndio sshihi
-madhehebu ya mashahidi wa Yehovah
-Madhehebu ya Sunni
-madhehebu ya kisabato
-madhebu ya Kkkt
-madhehebu ya shia
Ni kukumbushana na kuelimishana tuu
Hongera sana mkuuUmeshauri vyema. Afadhali mimi tayari nimeishalifanyia kazi.
Pamoja mkuuWrite your reply...bonge la thread" asante mtoa mada
[emoji106] [emoji106]Uzi umenigusa kumoyo🙂🙂🙂🙂🙂