Kentsuhcy Wrudate
JF-Expert Member
- Aug 20, 2019
- 1,075
- 677
Wewe ni daktari? Kwenye huu uzi nimeona mtu mmoja anasema kua kuna baadhi ya wanawake wanakataa kushonwa wao wenyew, ina ukweli hii?Haiwezekani mwanamke ajifungue kwa kuongezewa njia au wakati wa kujifungua achanike msamba kisha ashonwe nusu au robo ili tuu vagina iwe kubwa kisa kuwakomesha wanaume.
Kwanza akukomeshe wewe anakujua?
Na kisheria kama kuna mwanamke ataongezewa njia au kuchanika msamba wakati wa kujifungua, endapo utagundua umeshonwa vibaya, kaisi kwamba vagina haijarudi kwenye anatomical position yake, basi sheria inakuruhusu kwenda kushtaki hospitali husika na wahudumu waliokuharibu.
Hivyo mkuu, kama unaona mkeo alishonwa kisha vagina imekaa kama shati lililolishanishwa vifungo, basi wachukulie hatua wahusika.
Unachojaribu kukipandikiza hapa ni uongo kwenye jamii ambayo kwa kutokujua kwake mambo ya kitabibu wataamini kweli madaktari na wauguzi huwa wanaacha vagina bila kuzishona ili kuwakomoa wanaume.
Unamtegeshea shoti ya umeme kwa wapi...?😂😂😂😂😂Kuna mbwa bado wanatukana wanawake: tunaleta viumbe vyenu duniani vinawafanya mnaitwa baba af saizi mnakejeli. Ndo maana wadada wengi wanaishia kulilia operation ili wamfurahishe mume ambae akija mtandaoni anamwita kiumbe dhaifu.
We The unpaid Seller njoo huku. Saizi tuombe madaktari watafute namna na we uwe unazaa labda utaacha kuita wanawake dhaifu.
Af mbaya zaidi unakuta mtu kama unpaid seller ana mbichwa kama gari la taka ataacha kurithisha watoto wake na mke akachanwa njia? Yani we ningekua nakaa na wewe ningekua nakutegeshea shoti ya umeme kila siku
Kuna ambao wanakataa katakata kushonwa kwa imani zao..... Kama ni mchaniko mdogo mnamuacha, kama ni mkubwa mnamsainisha form ya kukataa kushonwa..Wewe ni daktari? Kwenye huu uzi nimeona mtu mmoja anasema kua kuna baadhi ya wanawake wanakataa kushonwa wao wenyew, ina ukweli hii?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna ambao wanakataa katakata kushonwa kwa imani zao..... Kama ni mchaniko mdogo mnamuacha, kama ni mkubwa mnamsainisha form ya kukataa kushonwa..
BTW kama mwanamke ana maumbile makubwa basi yatabaki kuwa makubwa tuu, hata kama utapunguza ukubwa wa shimo huku nje ila ndani itabaki na ukubwa wake.
Na kama mwanamke ana maumbile madogo basi uatabaki kuwa madogo kwa ndani hata kama nje utaongeza njia.
Aahh.. Mzee mwenzangu ndio nataka nianze.Mzee mwenzangu haya mambo umeanza lini?
Si unajua mtu akikojolea waya wa umeme inatengeza reaction. Sasa mwache🤣 wangemfunga piopio ya chululuuUnamtegeshea shoti ya umeme kwa wapi...?😂😂😂😂😂
Mi si mwanamke so kuzaa ni lazimaMbona povu na wewe mhusika au?
😂😂😂😂😂😂😂 Jamni weeeh .... UtauwaSi unajua mtu akikojolea waya wa umeme inatengeza reaction. Sasa mwache🤣 wangemfunga piopio ya chululuu
Usianze tafadhali😂Aahh.. Mzee mwenzangu ndio nataka nianze.
Tuthibitishe tuhuma za kijana ni kweli au lah!! 😂 🤣
Wanakwepa mambo yao tuuu naskia..hamna kinginewale wajanja ni mwendo wa upasuaji, kuogopa bwawa
kukwepa bwawaWanakwepa mambo yao tuuu naskia..hamna kingine
Pole saana mkuu..unahitaji matibabu nadhani maana hii mindset yako ishavuka kwenye abnomality...ni severe... chronic au critical na seriously unahitaji kusaidiwa haraka iwezekanavyo.. kwenu umezaliwa mtoto wa ngapi??kukwepa bwawa
na/au nnya
demu akizaa kawaida, bwawa lake halikauki katu-katu
kipindi n@t0mb@, nikidadisi na kugundua mliwaji kazaa, anakula block
nishavuka umri wa vt0mb@j1, sasa niko chaputamkuu..unahitaji matibabu
Una miaka mingapi?nishavuka umri wa vt0mb@j1, sasa niko chaputa
mie mtoto wa kati
42
Mbona akili kama ya mtoto wa miaka 16 hivi..
ya kutopiga puliuliruka stage gani?
Hebu nipasie mkuu, nitest, ni kweli ukisemacho
Tatizo mwanamke kajifungua ndani ya miezi 3 mnaanza kupiga game!!!
Waacheni wapumzike hata miezi 9 ili sehemu zake ziimarike kama zamani
Tamaa zitawaponza mnawabaka wamama wachanga wanaonyonyesha halafu mnakuja hapa kulalamika
Well said🙏🙏🙏tunayopitiaaa ni makubwaaaa mnoo sitaki kukumbukaa kbsaaaooh Mungu akubariki baba, nilisoma coment ya huyu kaka nikasikitika ila nikajisemea labda ji under 20, jamani kuzaa iwe kwa kisu au kawaida sio jambo dogoooo, ni vile tu kwa namna yoyote wanaume hamjawahi kuexperience hii safari msingeongea, ivi unajua kuna miezi ya mwisho ikifika unatamani kulitua tumbo upumzike kdg alafu ulibebe tena ila ndo ivyo huwezi, ingekua busara tu wanaume kuwaheshimu wanawake kwa jukumu hili la kuleta uhai na sio kutudhihaki.
Pia sad news ni owamba na nyie mtakuja/mnao kuwa na watoto wa kike sidhani kama mngependa wadhihakiwe na waume zao kwa namna hii mnayotufanyia sisi.🥲
Wanaume badilikeni acheni kujitoa ufahamu
Mnapenda tu kujisifia na watoto wenu lakini hamtaki ku bear cost ya kuwapata hao watoto.
Wanaume badilikeni.
Hahah inakuw cute et eMi ni C-section ila nasikia wanaozaa kawaida inajirudi cute?