Wanaume tuongee na Madaktari

Kuchana mchane nyie madaktari Kegel wafanye wake zetu kweli?
Mmefanya wadada wanashinda Gym bila sababu.
Wakitumia Dawa za Uzazi wa Mpango MATUMBO HAYOOO.
Kwa ujumla Wizara ya Afya ina kasoro za kiutendaji nyingi sana na haina watafiti makini

Kwanza mm sio daktari. Ila ninachojua, mkeo hawezi "kuchanwa" bila idhini yake
Halafu gym ni kitu cha kukemea kweli? Mazoezi ni mazuri kwa afya, kwahio hata akifanya kegel sio mbaya. Matumbo yanasababishwa na chakula sio dawa za uzaz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani zuzu dr sa100 anasemaje [emoji849]
 
Soma tena alicho andika acha kukurupuka ...amesema kuwa mwanamke akisha kuwa bwawa inabidi mwanaume ili kufika kileleni avute sura za warembo wengine ili ku busty saikoloji ya kufika kileleni
Yaani mkeo kuongezwa njia kukuzalia mtoto unamuona Kawa bwawa.

Mnapata wapi hata ujasiri kwa ku discuss haya mambo kwanza?

Kwahiyo huoni kuwa thamani yake imeongezeka unawaza kawa bwawa kisa uvute sura za kina Jokate ndo ukojoe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…