Wanaume tuongee na Madaktari

A Ahsante umeeleweka ngoja Wataalam wengine waendelee kutoa hoja. Hilo la kibamia ni zilipendwa. Ukiona mwenzio ana kibamia tambua wewe una Bonde la Uffa over! Usilazimishe jibu lako liwe la wote. Tunaongelea ushonaji mbaya, je kibamia ndicho kinashona? Pita huku achana na mimi sipendi ligi mtandaoni. Am deeply sorry🙏🙏
 

🙆🙆🙆
🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️

#YNWA
 
Vibamia mna gubu na makelele jiueni tu hamna faida
 
mbona unaongea kama umekula mavvi mzee, can you at least argue with points. ulishawahi kuishi na mwanamke wewe? sisi wenzio tuna watoto wakubwa kama wewe, wanawake tunawajua na hivyo vyote unavyoongea inawezekana vimetokea labda ka mkeo tu au kwa dadako au yeyote. ila sisi wenzio tunajua kua mwanamke akijifungua wengine (sio wote) njia huwa inachanika na huwa wanashona. kuna wengine ukikutana nao pale unaliona kovu kabisa la kushonwa. au wako hajashonwa na unafikiri wote unaowaona barabarani wako kama wako?
 
Watu wanaoongelea maumbile ya wengine kwa dhihaka (derogatively) huwa wenyewe wana mapungufu makubwa kimaumbile,
wanafanya hivyo kujitia moyo.

Huwezi kuwa msafi kwa kuchafua wenzio,

Wala hupandi juu kwa kushusha wengine,

Unabaki mchafu na mapungufu yako hivyo hivyo tena unaya illuminate yaonekane vizuri na unaonekana kituko
 
Kitu kingine unacho bidi uelewe ni kua... kuna wanawake wengine wana k*** kubwa naturally, kama ilivo kwa wanaume tunlivo na mashine za size tofauti na wao ni ivoivo... wapo wenye "kina" zaidi wapo wenye pana zaidi. Kila chupa ina mfuniko wake, ombea tu upate mtu mnaeendana, lol..
Vinginevyo mtabak mnalalamika tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…