sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,408
- 19,044
Mahari iwe walau laki 5, gharama za sherehe ni sehemu ya mahari itayogharamiwa na upande wa binti.
Binti hatongozi, ni sisi ndio wenye uwezo na kauli hio ya kuanza mahusiano, Na hata tukiingia kwenye mahusiano ni sisi wanaume wenye final say kwenye suala la kuoa.
Binti kuolewa anafaidika vingi sana kuzidi mwanaume,
-Tunampa heshima kwenye jamii kwamba ana ndoa.
-Tunawaheshimisha wazazi na ndugu zake kwamba kaolewa.
-Anapata ulinzi wa mwanaume.
-Tunawaepusha na usingo mama pale watoto wanapopata baba rasmi.
-Tunachotafuta ndicho nao hukitumia, wengi wao pesa zao hutumia matumizi yao.
n.k.
Ni muda sasa iwe sawa kwa familia ya binti kumlipa mwanaume mahari ili amchukue binti yao,