Wanaume tunavumilia vingi, wanawake mjirekebishe

Wanaume tunavumilia vingi, wanawake mjirekebishe

pipi mti

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2017
Posts
764
Reaction score
515
Wakuu naomba tu niseme maana hii kitu inanikera hadi basi.Sijui kama na wanaume wapo hivi labda dada zetu watakuja kutupa ushuhuda pia.

unakuta mwanamke anakuja kitandani bila hata kupiga mswaki yani akikupumulia utasema kunasehemu wanazibua choo cha sokoni.[emoji23] [emoji23]

Mwingine unakuta anakoroma utasema mchana anachoka sana na shughuli za kubeba magunia kumbe mama wa nyumbani au mdada aliyemaliza chuo hana ajira bado[emoji23] [emoji23] .

Mwingine ile nguo ya ndani aloshindanayo mchana ndio anakuanayo mda wa kulala.[emoji23] [emoji23]

Kuna mwingine mda wa kulala ndio muda wa kupigizana makelele na kuomba simu yako ili aone kama kunamichepuko ilimradi tu mgombane alafu umbembeleze.[emoji23][emoji23]

Mdada mwingine mzuri kabisa lakini analala mdomo wazi hadi udenda unamwagika[emoji23] [emoji23]

Mwingine ukiwanae mchana anajifanya sister duu wa nguvu na lugha zake zenye mchanganyiko wa kiswahili na viingereza vingi lakini akilala,usingizini anaongea kilugha chao(anapopoma).[emoji23] [emoji23]

Mwingine yupo na bwanake kitandani lakini muda wote yupo busy na simu.[emoji23] [emoji23] .

Kuna mwingine yeye ukiwanae inabidi uandike na wosia kabisa maana lolote linaweza kutokea.Hawa ni wale ambao ukilalanae unaweza ukashtuka mguu wake upo mdomoni kwako,tumboni au sehemu yoyote.wakati mwingine unakuta amekupandilia akiwa usingizini yani mnaamka mmeunda ishara ya msalaba[emoji17] .Siku nyingine unaamka unakutana na alama za vidole usoni mwako kama mtu aliyekula makofi.

Unakuta mwanamke anatembea peku yani bila viatu wala kandambili chini eti kisingizio haendi mbali[emoji17] .

Mwanamke mwingine yeye hana mazingira maalumu ya kunyonyesha mtoto.Yani sehemu yoyote iwe kwenye daladala ,harusini,msibani,kanisani yani kwakifupi haangalii mazingira.[emoji17] [emoji17]
Mwanamke mwingine yeye ni mjuaji wa kila kitu.Yani kila ukiingiza topic yeye yumo.Umwambie story za mieleka yumo,movie yumo,udaku yumo,siasa yumo,mpira yumo,kubet yumo.Unamuwekea movie ya kutisha ili ikifika sehemu ya mauwaji akukumbatie ndio kwanza anasema "bora aliuwe limezidi sana hilo"[emoji23] [emoji23] [emoji23] .

Mwanamke mwingine muda wote anakuletea story za mahusiano ya rafiki zake na kuwasema wengine muda wote.[emoji3]

Mbaya zaidi umpate mwanamke mwenye matatizo yote niliyoyasema[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Na sisi tukisema ya kwenu patakalika hapa? kunywa mataputapu mnatudi hata maith wash hamuijui iko wapi mna panda kitandani ute unawachuruzika. Asubuhi unaimba morning glory ute umechora kutoka mdomoni moaka sikioni hapo harufu usipime.
 
[emoji23] [emoji23]

Mwingine unakuta anakoroma utasema mchana anachoka sana na shughuli za kubeba magunia kumbe mama wa nyumbani au mdada aliyemaliza chuo hana ajira bado[emoji23] [emoji23] .

Mdada mwingine mzuri kabisa lakini analala mdomo wazi hadi udenda unamwagika[emoji23] [emoji23]
Bila shaka haya yako nje ya uwezo wake, mvumilie tu
 
Na sisi yuko sema ya kwenu patakalika hapa? Mke daughter kunywa mataputapu mnatudi hata maith wash hamuijui iko wapi mna panda kitandani ute unawachuruzika. Asubuhi unaimba morning glory ute umechora kutoka mdomoni moaka sikioni hapo harufu usipime.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Na sisi yuko sema ya kwenu patakalika hapa? Mke daughter kunywa mataputapu mnatudi hata maith wash hamuijui iko wapi mna panda kitandani ute unawachuruzika. Asubuhi unaimba morning glory ute umechora kutoka mdomoni moaka sikioni hapo harufu usipime.
Kulikoni dada Sky...!? nataka kuamini pengine jana ulilala na "Ting'as" kichwani, maana sio kwa uandishi huu...! [emoji111] [emoji111] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom