Optimistic bourgeoisie
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 236
- 280
Wanaume iyo haipo.labda tandaimba hukoNa nyie wanaume pia msisahau kufua boxer zenu.
Tumechoka na shombo zenu za vipapa huko uvunguni mwa mapumbu yenu.

Kama yapi?We acha tu.
Na sisi wanawake tunavumilia mengi sana kwa hao viumbe.
Hii siyo poa, ajirekebisheHata kujizuia kuchat muda wote akiwa na bwanake?
hahahahahHiyo ya kunuka midomo wanaume ndo mnayo Sana.
Mjirekebishe
Wakuu naomba tu niseme maana hii kitu inanikera hadi basi.Sijui kama na wanaume wapo hivi labda dada zetu watakuja kutupa ushuhuda pia.
unakuta mwanamke anakuja kitandani bila hata kupiga mswaki yani akikupumulia utasema kunasehemu wanazibua choo cha sokoni.[emoji23] [emoji23]
Mwingine unakuta anakoroma utasema mchana anachoka sana na shughuli za kubeba magunia kumbe mama wa nyumbani au mdada aliyemaliza chuo hana ajira bado[emoji23] [emoji23] .
Mwingine ile nguo ya ndani aloshindanayo mchana ndio anakuanayo mda wa kulala.[emoji23] [emoji23]
Kuna mwingine mda wa kulala ndio muda wa kupigizana makelele na kuomba simu yako ili aone kama kunamichepuko ilimradi tu mgombane alafu umbembeleze.[emoji23][emoji23]
Mdada mwingine mzuri kabisa lakini analala mdomo wazi hadi udenda unamwagika[emoji23] [emoji23]
Mwingine ukiwanae mchana anajifanya sister duu wa nguvu na lugha zake zenye mchanganyiko wa kiswahili na viingereza vingi lakini akilala,usingizini anaongea kilugha chao(anapopoma).[emoji23] [emoji23]
Mwingine yupo na bwanake kitandani lakini muda wote yupo busy na simu.[emoji23] [emoji23] .
Kuna mwingine yeye ukiwanae inabidi uandike na wosia kabisa maana lolote linaweza kutokea.Hawa ni wale ambao ukilalanae unaweza ukashtuka mguu wake upo mdomoni kwako,tumboni au sehemu yoyote.wakati mwingine unakuta amekupandilia akiwa usingizini yani mnaamka mmeunda ishara ya msalaba[emoji17] .Siku nyingine unaamka unakutana na alama za vidole usoni mwako kama mtu aliyekula makofi.
Unakuta mwanamke anatembea peku yani bila viatu wala kandambili chini eti kisingizio haendi mbali[emoji17] .
Mwanamke mwingine yeye hana mazingira maalumu ya kunyonyesha mtoto.Yani sehemu yoyote iwe kwenye daladala ,harusini,msibani,kanisani yani kwakifupi haangalii mazingira.[emoji17] [emoji17]
Mwanamke mwingine yeye ni mjuaji wa kila kitu.Yani kila ukiingiza topic yeye yumo.Umwambie story za mieleka yumo,movie yumo,udaku yumo,siasa yumo,mpira yumo,kubet yumo.Unamuwekea movie ya kutisha ili ikifika sehemu ya mauwaji akukumbatie ndio kwanza anasema "bora aliuwe limezidi sana hilo"[emoji23] [emoji23] [emoji23] .
Mwanamke mwingine muda wote anakuletea story za mahusiano ya rafiki zake na kuwasema wengine muda wote.[emoji3]
Mbaya zaidi umpate mwanamke mwenye matatizo yote niliyoyasema[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
AiseeNa nyie wanaume pia msisahau kufua boxer zenu.
Tumechoka na shombo zenu za vipapa huko uvunguni mwa mapumbu yenu.
Huwa unawaambia kuwa hupendi hayo?Wakuu naomba tu niseme maana hii kitu inanikera hadi basi.Sijui kama na wanaume wapo hivi labda dada zetu watakuja kutupa ushuhuda pia.

Ha ha ha .....sio wanawake wote wapo hivyo...inategemea na mazingira anayoishi au anayojiweka au niuchafu wake tu au hulka yake tu mwanamke wa hivyo.Wakuu naomba tu niseme maana hii kitu inanikera hadi basi.Sijui kama na wanaume wapo hivi labda dada zetu watakuja kutupa ushuhuda pia.
unakuta mwanamke anakuja kitandani bila hata kupiga mswaki yani akikupumulia utasema kunasehemu wanazibua choo cha sokoni.[emoji23] [emoji23]
Mwingine unakuta anakoroma utasema mchana anachoka sana na shughuli za kubeba magunia kumbe mama wa nyumbani au mdada aliyemaliza chuo hana ajira bado[emoji23] [emoji23] .
Mwingine ile nguo ya ndani aloshindanayo mchana ndio anakuanayo mda wa kulala.[emoji23] [emoji23]
Kuna mwingine mda wa kulala ndio muda wa kupigizana makelele na kuomba simu yako ili aone kama kunamichepuko ilimradi tu mgombane alafu umbembeleze.[emoji23][emoji23]
Mdada mwingine mzuri kabisa lakini analala mdomo wazi hadi udenda unamwagika[emoji23] [emoji23]
Mwingine ukiwanae mchana anajifanya sister duu wa nguvu na lugha zake zenye mchanganyiko wa kiswahili na viingereza vingi lakini akilala,usingizini anaongea kilugha chao(anapopoma).[emoji23] [emoji23]
Mwingine yupo na bwanake kitandani lakini muda wote yupo busy na simu.[emoji23] [emoji23] .
Kuna mwingine yeye ukiwanae inabidi uandike na wosia kabisa maana lolote linaweza kutokea.Hawa ni wale ambao ukilalanae unaweza ukashtuka mguu wake upo mdomoni kwako,tumboni au sehemu yoyote.wakati mwingine unakuta amekupandilia akiwa usingizini yani mnaamka mmeunda ishara ya msalaba[emoji17] .Siku nyingine unaamka unakutana na alama za vidole usoni mwako kama mtu aliyekula makofi.
Unakuta mwanamke anatembea peku yani bila viatu wala kandambili chini eti kisingizio haendi mbali[emoji17] .
Mwanamke mwingine yeye hana mazingira maalumu ya kunyonyesha mtoto.Yani sehemu yoyote iwe kwenye daladala ,harusini,msibani,kanisani yani kwakifupi haangalii mazingira.[emoji17] [emoji17]
Mwanamke mwingine yeye ni mjuaji wa kila kitu.Yani kila ukiingiza topic yeye yumo.Umwambie story za mieleka yumo,movie yumo,udaku yumo,siasa yumo,mpira yumo,kubet yumo.Unamuwekea movie ya kutisha ili ikifika sehemu ya mauwaji akukumbatie ndio kwanza anasema "bora aliuwe limezidi sana hilo"[emoji23] [emoji23] [emoji23] .
Mwanamke mwingine muda wote anakuletea story za mahusiano ya rafiki zake na kuwasema wengine muda wote.[emoji3]
Mbaya zaidi umpate mwanamke mwenye matatizo yote niliyoyasema[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Muwe mnawashauri wenzenu jamani maana tukiwaambia sisi huku majumbani kesho anabeba mabegi[emoji23] [emoji3]Ha ha ha .....sio wanawake wote wapo hivyo...inategemea na mazingira anayoishi au anayojiweka au niuchafu wake tu au hulka yake tu mwanamke wa hivyo.
Ila umeniacha hoiiii hapo uliposema umapate mwenye sifa zoteee .....ha ha ha mkuu hapo kufa itakuwa ufi ila chamoto utakiona
Mkuu kuna mazingira ya kunyonyesha na si kwamba unaweza kunyonyesha mahali popote.mkuu kwa hako kipengelee ntakupingaaa kunyonyesha si hiari mkuuuu omba radhi mkuuu na inaonyesha huna familiaa oa utajua kwanini tunataka watoto wetu wanyonyeshe
Na sisi yuko sema ya kwenu patakalika hapa? Mke daughter kunywa mataputapu mnatudi hata maith wash hamuijui iko wapi mna panda kitandani ute unawachuruzika. Asubuhi unaimba morning glory ute umechora kutoka mdomoni moaka sikioni hapo harufu usipime.
Umeongea vizuri mkuu ila issue ni kwamba hizo ni baadhi ya tabia ambazo wanazo baadhi ya wanawake.Kuna mwingine anamoja kati ya izo au zaidi.kikubwa kwa aliyeguswa ajirekebishe.Wanawake wa namna hiyo kweli Wanakera...sawa!
Ila sio kwamba nawatetea Wanawake, ukitumia neno baadhi ya wanawake ni sahihi zaidi kuliko kugeneralize.
Aidha hilo ni tatizo dogo sana kwa Mwanaume na haistahili kushtaki humu.
Kama angekuwa mchafu na mzembe hivyo kisha ukimrekebisha Hasikii kabisa hapo sawa. Ila ni jambo la kumwambia tu au kumnunulia dawa ya meno na mouth wash...kama havai malapa mnunulie basi.
Ukilalamika vitu vidogo hivi badala ya kumrekebisha baby wako chap yaishe, tutajua wazi kuwa wewe ni layoni.
Wabillah Tawfiq.