Wanaume tunarogwa sana na wanawake

Kwa kweliiiii mrogweeee tu....... Maana mnachezaaaa sana na akili zetu...
 
Wanarogaga kabisa kabisa. Unajua wanaume bidhaa hadimu sana.Ila ukiwa kwa Yesu mambo ni matamu aisee.Hakunaga risks za kijinga kama hizo
 
Basi itakua nimechezewa sio bure kuna boya mmoja najikuta naropoka jina lake bila kutegemea, hii gender [emoji1544]
 
Nakumbuka way back home tulipangisha wadada wengi wengi walioolewa story zao nyingi zilikua waganga tu
 
Mambo ya kulogana kisa mapenzi bado yapo kumbe
Yapo sana tu. Kuna wadada wanaroga ili wapate mabwana wenye pesa.

wakisema wasipingwe. Wakiomba hela wasikataliwe..

this world is not as we see it
 
Yapo sana tu. Kuna wadada wanaroga ili wapate mabwana wenye pesa.

wakisema wasipingwe. Wakiomba hela wasikataliwe..

this world is not as we see it
Shida dawa zikiisha kuanza kuhangaika tena kwa waganga. Shida zote hizo za nini sasa daah
 
Hako ka lenie aisee ni kiboko kana mizimu ikipanda inaomba hadi kitimoto ikimaliza inaomba na maji Kisha inamalizia na ubuyu huku ikitema mbegu..🤣
Wewee
 
Mimi kuna binti nahisi kaniroga kabisa make sielewi elewi hisia zangu kwake ani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…