nalazuzu
JF-Expert Member
- May 17, 2016
- 481
- 439
Umeseme nilichotaka kusema.Uko sawa lakini itategemea na shughuli yenyewe unayoivalia suit..mfano kama ni harusi..hizo colour ni common sana na wala haziwezi kudraw attention ya watu...unaweza kuvaa black ktk harusi yako, ukajikuta umevaa sawa na wanakamati wako maana asilimia kubwa ya watu wanakimbilia black suit sababu kubwa ikiwa ni kuwa huru na kuonekana rasmi tuu kama mtu aliyevaa suit lakini haikuletei usumbuf wa watu kukutupia macho mara kwa mara na mara nyingine watu wanaogopa kuvaa rangi zinazovuta macho ya watu coz wanaogopa kuambiwa wamepania sherehe za watu...
.
.
Lakini kama ww ni bwana harusi unatakiwa uangalie rangi ambazo hata mkiwa na mpambe wako mtakuwa mmevaa tofauti angalau kidogo na waalikwa...