Wangari Maathai JF-Expert Member Joined Aug 13, 2018 Posts 34,958 Reaction score 70,721 Nov 28, 2018 #81 aretasludovick said: Ooh, kumbe wa kike. Hongera sana Click to expand... πππ
kombaME JF-Expert Member Joined Aug 24, 2015 Posts 2,115 Reaction score 2,822 Nov 28, 2018 Thread starter #82 aretasludovick said: Wakwangu ndio yuleyule tangu tunatoana bikra hadi sasa. Tatizo lipo kwangu nimeanza kuchepuka ndani ya ndoa Nashindwa kujiamini huku nafsi ikinisuta pale napokosea mimi alafu yeye ndio anaomba msamaha Click to expand... Daaah boss hebu rudi mkuu, muonee huruma
aretasludovick said: Wakwangu ndio yuleyule tangu tunatoana bikra hadi sasa. Tatizo lipo kwangu nimeanza kuchepuka ndani ya ndoa Nashindwa kujiamini huku nafsi ikinisuta pale napokosea mimi alafu yeye ndio anaomba msamaha Click to expand... Daaah boss hebu rudi mkuu, muonee huruma
kombaME JF-Expert Member Joined Aug 24, 2015 Posts 2,115 Reaction score 2,822 Nov 28, 2018 Thread starter #83 Lwasu said: Asee enzi za college mi nishakutana nao kama 3 hv yaani unakuta boom limekata halafu dogo anampiga sound mama yake anakuja na mazaga yote ..... Mwisho wa siku niseme tu ukishakua kunguru kufugika inakua ngumu!!! Click to expand... Saiz vp uliyenaye?
Lwasu said: Asee enzi za college mi nishakutana nao kama 3 hv yaani unakuta boom limekata halafu dogo anampiga sound mama yake anakuja na mazaga yote ..... Mwisho wa siku niseme tu ukishakua kunguru kufugika inakua ngumu!!! Click to expand... Saiz vp uliyenaye?
kombaME JF-Expert Member Joined Aug 24, 2015 Posts 2,115 Reaction score 2,822 Nov 28, 2018 Thread starter #84 Rozanna Agro Africa said: Umenikumbusha mbali mkuu, uongeayo ni sahihi tupu Click to expand... Pole kwa kukumbusha boss ila naamin upo pazuri saiv
Rozanna Agro Africa said: Umenikumbusha mbali mkuu, uongeayo ni sahihi tupu Click to expand... Pole kwa kukumbusha boss ila naamin upo pazuri saiv
Jokajeusi JF-Expert Member Joined Jun 1, 2018 Posts 6,332 Reaction score 10,913 Nov 28, 2018 #85 mti wa bib said: Sijawah kupata mwanamke km huyo,nikija kumupata nitamupa mapenz ya kwel . Click to expand... Tafuta bikra Mkuu. Niamini katika hili. Shemeji yako ni kama kalogwa hageuzi chochote kuhusu mimi.
mti wa bib said: Sijawah kupata mwanamke km huyo,nikija kumupata nitamupa mapenz ya kwel . Click to expand... Tafuta bikra Mkuu. Niamini katika hili. Shemeji yako ni kama kalogwa hageuzi chochote kuhusu mimi.
L Lwasu JF-Expert Member Joined May 31, 2015 Posts 1,304 Reaction score 1,234 Nov 28, 2018 #86 kombaME said: Saiz vp uliyenaye? Click to expand... Daaah mwanangu mwanangu imehama kwangu sasa hivi ni no money no honey!!!
kombaME said: Saiz vp uliyenaye? Click to expand... Daaah mwanangu mwanangu imehama kwangu sasa hivi ni no money no honey!!!