Wanaume tunakwama wapi katika hili??

Hua mnaona hatuna pa kwenda, na kwenu hua tumefika mmesahau kabla yenu tulikua tunaishi sema tu mapenzi yakatutia upofu

Bora huyo hata wazazi wake walikuchachamalia me alikua dini tofaut na nilikua radhi hata kupishaana na mzaz wangu kwa ajili yake siku niliojitambua yan nikijiona bonge la mpuuzi nikakaaa nikafikiriaaa nikasema over my dead body sitaweza kupingana na mzaz wangu aliejikamua kujinyima kula mimi niishi halaf nije mkatili kwa mpuuzi mmoja tu huwaga najichekaga lakini mwisho wa siku ni mapito na changamoti sana sana nimeweza kujifunza na kujigundua nina mahaba s ya nchi hii
 
Aisee! Lakini ukimpata anaejua kupenda namna hiyohiyo mkapendana unaweza kudhani hamna kifo kabisa
 
Yani ukweli kabisa ukipata mtu akakupenda ukampenda mnajiona mko wawili tu duniani

Na nilivyokuaga najiapiza kua sitakuja penda tena kama tutaachana kumbe Allah ananambia subutuuu
Aisee! Lakini ukimpata anaejua kupenda namna hiyohiyo mkapendana unaweza kudhani hamna kifo kabisa
 
duh... !mie nashukuru Mungu najua kupenda ila sijawah fika hizo levels jaman.. kiukweli maisha yangu ya ujanani sijawah teswa na mapenzi aisee..aisee.. bas mnaona mibichwaa
Kama hujaoa tuliza akili tu utampata wa kupendana nae mkuu, sema hutokea kama bahati
 
[emoji3][emoji3][emoji3] binadamu tuna tabu sana asee. Kumbe kuna watu hawapendi kupendwa sana dah.
 
aga mashindano he was not meant for you
 
Bado upo nae?
 
Hivi kumbe wanawake wa ivyo bado wapo eeh?
 
Ulifanya jambo la maana...hakuna kuomba msamaha kizembezembe
 
Mambo ya kuomba misamaha kupotezeana muda
 
Kumbe hata nyinyi hamjui mnachotaka!!
 
Hayo mapenzi yapo tanga na zenji tu
 
Wanawake wananishinda pale tu napogundua kuna mambo ya kando yanaendelea haswa kama anapendelea mambo ya mahusiano hata ya msg tu na mwanaume mwingine.

Sasa unawezaje kumuamini na kumpenda mtu ana flirt na majamaa huko pembeni
 
Niliwahi kua na mwanaume yani mkikorofishana kidogo tuachane..najiona fala naomba msamaha..kitu kidogo tuachane sitaki stress najishusha naomba msamaha...na sijawahi omba msamaha kwenye mahusiano zaidi ya Yale...akaenda akawa anafanya kusudi hajui mwenzie nahesabu tu...Mara ya mwisho ananiambia tuachane sikumkawiza wala kubembeleza nilimpa yake nikamuacha anahangaika nayo..maana hakuamini kama ndie yule niliyekua naomba msamaha...kibao kikageuka kwake mbona alijuta!!!...sipendagi upuuzi mie
 
Halaf raha ya kuombwa msamaha sio kutesana unapoombwa msamaha ujue huyo mtu anataka tu yaishe muendelee lakini wengi huchukulia kama udhaifu wa kuumiza wengine
Ulifanya jambo la maana...hakuna kuomba msamaha kizembezembe
 
Halaf raha ya kuombwa msamaha sio kutesana unapoombwa msamaha ujue huyo mtu anataka tu yaishe muendelee lakini wengi huchukulia kama udhaifu wa kuumiza wengine
Tena yanakua yanapata biichwaaa!! Shenzy kabisa
 
haha halaf ukijitambua unajiona mjinga unabaki kujiuliza nilimoendea nn yan akili inakua kama imezinduka hivi, me huyo alinitesa sana na alijua ninampenda na sina guts za kukubali kuachana naye, mtu mbishi na mengi maovu mengine unabaki kujiona mjinga why ulikua vile, na vile ukiwa naye anaona kwake umefika maudhi ndio kuzidi hasa akishajua anapendwa
 
Hii imenigusa. Nimeoa. Mke wangu ni mtu wa kutoka (outdoor activities) lakini mimi ni indoor. Kupumzika kwangu siyo kwenda Serengeti ama kuogelea. Kupumzika (holiday) kwangu ni kukaa ndani na kusoma kitabu ama kuangalia TV. Sasa huyu mwanamke alijitahidi kunifanya niwe kama yeye lakini ikashindikana. Nikienda nje, najiskia kuwa bado sijapumzika. Kama ni likizo, najisikia kuwa sijapumzika. Ndivyo nilivyo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…