Wanaume tunakwama wapi katika hili??

Haijawahi kushtukia maswala yangu ya kuchepuka, Ila kiukweli sipendi nichepuke na nina mpango wa kuacha kabisa hii tabia kabla haijaniletea madhara
 
Wengi wana wanawake wa hivyo wanakuwaga na tabia ya kuganda ganda sana watu.
Na kwa kuwa wanaume tunapenda uhuru, huwa tunawaona kero.

Kwao hiyo kero wanaiona ndio mapenzi.
Na hapo ndipo tunapopishana.
 
Wanakuwa hawavutii hawana pigo zile na swaga tunazotaka.

Zingatia thread ya jamaa mmoja alileta humu

Kwanini wanawake wazuri hawaombi msamaha
Mwanake akishajiona kweny kioo ni mzur na mrembo kiukweli hawaombagi samahan aisee nilikuwa na mchepuko mmoja mkali hatar yaan akipita lazima muache shughili zenu mmtazame. Kwa alivojaaliwa na Muumba Mashalaaaahhhhh ila taizo lake anataka matumzi kama yote harafu haombi msamaha ng'ooo hata akikosea kosa kubwa kias gan sjui nani kawaroga wanajiamni mkiachana atapata mwingine cku iyo iyo tena usikute anamwingine na ww pia mko wote kwa anakuwa na kiburi sana
 
Ulichonena ni kweli kabisa mkuu.

Ila umenichekesha hapo kwenye matumizi kama yote.
 
Ni kweli. Wanawake wanaokua na mapenzi ya dhati mara nyingi ni vichomi. Hawana mvuto sana
 
Nakataa, nilishakua na mtu yan hata akikosea yeye mimi najikuta niombemsamaha mambo yaende, unafubga safar unamfata mtu hata hakuulizi umefikia wapi mpaka ww umshtue niliwah kuomba msamaha the whole night sitasahau, nikawa nawaomba had marafiki waseme naye tuwe normal bas ananambia et namdhalilisha kufanya hivyo damn!! Ni kitendo cha dakika tu nikajiuluza ye ni nani had aninyime na kumtegemea yeye kwa furaha yangu nikasema haiwezekani huu ujinga nikakubali hali tuachane tu na kweli ndio ilivokua
 
Ni kweli Madam

Wanaume kabla hatujajitambua ni kawaida kwamba tukipata wanawake wa namna yako tunajisahau sana na tunabaki tukining'inia bila kujua kwamba kuna siku mtachoka na kurefresh akili zenu.
Wakwangu ilifikia hadi kipindi hataki hata kula ni kulia tu ndipo wazazi wake wakachachamaa kwamba nisije kuwaulia mtoto.,,, nashukuru huyu mwanamke sikumpoteza na nipo nae hadi leo
 
Kiukweli kupendwa sana ni kero

Unakuta mwanamke muda wote anakuganda

Simu kila dakika, ukiwa na washikaji anataka uchati naye yeye na ukimwambia upo na washikaji anakuuliza mimi na hao washikaji nani ni wa muhimu

Ukiongea na maduu wengine, kwake kero

Mara akupigie simu anaumwa kazidiwa ukienda unakuta haumwi kwa kiwango hicho, wiki ijayo atakwambia nimezidiwa nataka kufa

Kupendwa sana ni kero, mimi nataka nipendwe wastani
 
Nafikiri ni tabia tu, nikiwa Advance nilikua na mrembo wa namna hiyo, skua msumbufu ila nilipita na rafiki yake bahat mbaya akajua, akasema atonsamehe hilo na kweli tukaachana japo nilimpenda sana na iliniumiza.......

Imechukua 6 kumpata kama yeye, sasa naijua thaman halis ya nilie nae leo, mda mwingine naisi hutokea ili tujifunze kuwapenda, kuwajal, wale wanaotupenda......

Nilie nae nimempora kwa jamaa asie jua thaman yake, ilichukua muda kumng'oa kwa jamaa, siku jamaa anapewa ujumbe akuamni. Nimejifunza Malipo ya Upendo ni upendo l.
 


duh... !mie nashukuru Mungu najua kupenda ila sijawah fika hizo levels jaman.. kiukweli maisha yangu ya ujanani sijawah teswa na mapenzi aisee..aisee.. bas mnaona mibichwaa
 
Achana nae njoo huku nikupetipeti
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…