Wanaume tunakwama wapi katika hili??

kombaME

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2015
Posts
2,115
Reaction score
2,822
Wakulu wazima humu,

Nadhani kwa wanaume wenzangu mtakubaliana na hili, naamin katika maisha yako umewahi kutana na mwanamke mwenye mapenzi ya dhati hadi unajihisi mfalme kabisa, muda wote anakupigia simu au kutaka mchati, wakati wote yupo geto kwako, ukiumwa sasa jinsi anavyohangaika hadi raha, utapikiwa chochote hata kuiba hela kwao mwanamke anakuwa tayari alafu ukicheki labda una kitanda tu na sabufa, lakini mwanamke anakung'ang'ania, atakula tembele atavumilia tu, kifupi ugumu wowote ule kwake Kama mafuta tu.

Lakin Mara Nyingi sisi wanaume huwa tunawapoteza wanawake wa namna hii na kukuta tunadate hadi kuwaoa wanawake wa ajabu wasio na mapenz na sisi mwisho wa siku tunajuta hatimaye kufa mapema.

Sijui huwa tunakwama wapi...
 
Mtoa Mada maisha hayo hivi Bado yapo kweli?
 
wapo nishaona sehem mwaume anaenda kazin asubuh,mwanamke anabaki nyumban akifanya usafi na kuandaa chai akimalz anamhudumia mtoto,baad ya hapo hanywi chai mpka mmewe atakapo kuja kunywa chai, akisema tayar amesha kunywa mwanamke atambembeleza xn tena kw sauti murua mpaka hata kama ulikuwa hujckii waweza hisi njaa na kuungana nae pia kunywa chai bt c chai tu mpaka kwa chakula,aisee inapendeza xn ukimpat wa hvo lakin kw walio wengi anatenga2 na kukukaribisha anasepa zake aina hii mimi swatakh"mm napenda xn kudekewa"
 
Tupo kabsa me nilijitoa kwa mshkaji kwa HALI na MALI aseme nini asipewe duh kanisaliti namsamehe ,,, bado madem zake wanitukane me nimo tu kazaa kabsa na mwanamke mwengine me nimo tu yaan asilie shida nshamsaidia kwa moyo wooote ila me nkimwomba at a 2000 hakupi ng'ooo nili struggle sana lkn mshkaji ananiona boya tu....maisha yanaendelea maana shobo nazo zina niponza sometimes... Ila najua IPO siku shobo zitaisha tu
 
wengi wao wanaigiza wewe acha kupokea simu na wakati anakufanyia yote hayo uone atakavyo kushushua.utajuta kufadhiliwa na mwanamke.
 
hebu sema sio wanaume wote mzee baba
 
Asee enzi za college mi nishakutana nao kama 3 hv yaani unakuta boom limekata halafu dogo anampiga sound mama yake anakuja na mazaga yote ..... Mwisho wa siku niseme tu ukishakua kunguru kufugika inakua ngumu!!!
 
Ni kwamba huyo mwanamke unakuwa hujampenda ila upo nae tu kwa kuwa kwa ufukara wako ndio huyo yupo level yako ukishapata ma***o yakalia bwata ndio tunaanza kuona rangi yako halisi
 
Wakwangu ndio yuleyule tangu tunatoana bikra hadi sasa. Tatizo lipo kwangu nimeanza kuchepuka ndani ya ndoa

Nashindwa kujiamini huku nafsi ikinisuta pale napokosea mimi alafu yeye ndio anaomba msamaha


one mistake one goal.. mimi nasemaga jaman ukiona umepata mke mwema stick naye.. jaman huko nje kuna wanawake hata ww mwanamke mwenzako unamgwaya.... hv amekukukosea kitu gan kikubwa had uanze kuchepuka?
hujisikii huruma.. yaan ww mwenyew umekiri mkeo ni mwema mmepitia mengi alafu leo unaanza kumcheat kisengesengerema!!
..hv mnadhan wake zenu hawatongozwi..
aisee..nampa pole mkeo!
 
sehemu ndogo tu wanakuja kipindi ambacho umri wa kuoa bado yaani hao wanakuja kipindi cha kula ujana...

kipindi cha nyuma nilipata mwanamke wa hivi,moyoni nilikuwa nampa vyeo vyote na heshima kubwa lakini ujana bado ulikuwa mtamu sana,kwahiyo naona kabisa nina mwanamke wa kueleweka lakini najua siwezi kujiingiza kwenye serious relationship kwa umri mdogo.
Pili type hiyo uwaga wana ka kero kao kamoja kadogo lakini ni KAKUBWA SANA,wanajua kubana na kuziba nafasi yaani hamna kitu sipendi kama kukosa nafasi ya kuenjoy na vitu vyangu binafsi(washikaji,hobby,movies alone).

Mi hata leo hii na huyu mpenzi wangu wa sasa,naimba kila siku sipendi kubanwa, sipendi kubanwa maana najua kabisa ukinibana tu tunagombana mda si mrefu.
Sitaki mwanamke asiye na hobby,mwanamke kwenye story &umbeya hayupo,tamthilia hayupo,kuogelea hayupo,kufuatilia season hayupo,kanisani hayupo yaani yeye ananisubiri mimi tu nilirudi tupige story,kila mda simu sitakiiii kabisa.
Afanye mambo yake huko,nikiwa busy, awe busy.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…