Wanaume wamekuwa chanzo kikubwa cha kusababisha wanawake wengi katika jamii kuonekana malaya kwa tabia za baadhi ya wanaume
Utakuta mwanaume anamdanganya mwanamke kwamba anataka kumuoa hivyo amkubalie tu ombi lake , hana nia ya kumchezea tu, natamani uwe mama wa watoto wangu na maneno mengi mazuri mazuri ya kuleta faraja yanayo ashiria maisha ya ndoa ya pamoja . Lakini kumbe ni uwongo tu anachokisema si ndicho kilicho moyoni mwake, utakuta binti anakubali kwa amehakikishiwa mahusiano yanayo elekea kwenye maisha ya ndoa . Kumbe ni changa la macho.
Kuna baadhi ya wanaume wakiona binti ana msimamo sana uwongo unapitiliza hadi kufikia hatua ya kumwambia binti wa watu kwamba kama huamini nina nia ya kukuoa nipeleke kwa wazazi wako, na jamaa anapelekwa kwa wazazi na kuku anachinjiwa lakini kumbe si muoaji ni tapeli wa mapenzi.
Sasa utakuta mwanamke akishatendwa mara ya kwanza , mara ya pili, ya tatu na ya nne kwa nini jamii yake isimwite malaya. Halafu kila mwanaume anapokuja huja na maneno mazuri kwamba wanaume tunatofautiana unajua mimi si kama huyo unayesema alikutenda ,nitakuheshimu ,nitakujali, nitakutunza kumbe wizi mtupu akishavuliwa tu chupi akiondoka imetoka hiyo akirudi pancha.
Wanaume tuache tabia hiyo ya kudanganya watoto wa watu kwani ukiwa tu mkweli kwamba nataka tugegedane tu kuna ubaya gani. Hasa wanafunzi wa chuo unamdanganya binti mwanachuo mwenzako unakaa naye miaka mitatu au semista nzima anakupikia ugali ,anakubrashia viatu lakini ikiisha semista unahama chumba unamwacha solemba wakati huo umemzibia riziki pengine angepata mwanaume wa kweli.
Ukweli ni kwamba hakuna mwanamke asiyependa kuolewa , hakuna mwanamke anayependa kila siku ahudhurie masherehe ya wenzake halafu yeye yupo tu . ukikuta mwanamke anaponda maisha ya ndoa ujue ametendwa sana sasa amekata tamaa .
Wanaume badilikeni jamani ili kuwaletea heshima wenzenu mnagegeda mabinti wa wenzenu miaka na miaka halafu mnawaacha sasa akipita muoaji akifuatilia historia anakuta jamaa kagegedana na fulani ,na fulani na fulani yule, mwisho na yeye anajikatia tamaa anaamua kuacha kwani anaona kama anakula makombo tu ya wenzake au kama vile amechukua shati la mtumba wakati ya dukani yapo mengi, anajiona kama amenunu used engine. Hii tabia siyo nzuri jamani.