Wanaume tuna kazi tena nzito

Wanaume tuna kazi tena nzito

Wasalaam!

Nimerudi nyumbani takribani siku si nyingi toka chuo (nimemaliza), sasa katika pita pita zangu nikamuona binti mmoja mzuri na anafaa hata wakati wa dhiki.

Ishu ikaja wakati wa Kampeni (kutongoza) binti akadai kuwa hapendi kuwa na wanaume wasomi nikabembeleza akakaa sawa tukaanza mahusiano. Tatizo linakuja mimi tu ndo natuma sms na kupiga ye ni kujibu tu, hapigi wala hatumi sms!

Nikaamua kukaa kimya kama siku 2 bahati nzuri nikakutana nae nikamwambia nimechoka na hali ya kupiga mimi tu kila Day! Akajibu ameacha hiyo tabia na akawa anajibu sms kila napotuma lakini ishu ya yeye kuanza kunitafuta ndo shughuli nikamuuliza kwanini unafanya hivi alichonijibu sasa."Unajua bado kupenda usijali nitakua poa''

Hadi sasa najiuliza nita "paona" kweli au ntachoma utambi bure kukimbiza upepo!

ww huna hela. ukishamtongoza demu kifuatacho huwa ni date (sio kupiga simu)...then shopping (optional) halafu gesti/geto. toa ujinga hapa.
 
Wasalaam!

Nimerudi nyumbani takribani siku si nyingi toka chuo (nimemaliza), sasa katika pita pita zangu nikamuona binti mmoja mzuri na anafaa hata wakati wa dhiki.

Ishu ikaja wakati wa Kampeni (kutongoza) binti akadai kuwa hapendi kuwa na wanaume wasomi nikabembeleza akakaa sawa tukaanza mahusiano. Tatizo linakuja mimi tu ndo natuma sms na kupiga ye ni kujibu tu, hapigi wala hatumi sms!

Nikaamua kukaa kimya kama siku 2 bahati nzuri nikakutana nae nikamwambia nimechoka na hali ya kupiga mimi tu kila Day! Akajibu ameacha hiyo tabia na akawa anajibu sms kila napotuma lakini ishu ya yeye kuanza kunitafuta ndo shughuli nikamuuliza kwanini unafanya hivi alichonijibu sasa."Unajua bado kupenda usijali nitakua poa''

Hadi sasa najiuliza nita "paona" kweli au ntachoma utambi bure kukimbiza upepo!

naomba nifikishe ujumbe kupitia huu uzi! Ivi ulitaka akupigie kwa vocha ipi ulotuma? Mnapenda vya bure umemkuta na simu unajua anaweka maji? Sio lazima umtumie vocha ila tangu mkutane ulishawai kumtumia hata 50000 kama invitation to treaty? Then ukamsikilizia?

Ni wale wale mnaopenda kutuma smsssssss simu unakuta imejaaa mi sms mpaka basi unataka akujibu kwa vocha ipi? Shame on u.

Sikiliza dogo nikufundishe wewe jiongeze usisubiri kuombwa watu wengine hatuombagi. Msome ujue anapenda nn hata siku moja mrushie vijisent mwambie nenda saloon. Hata siku ukitaka kumtoa out sio anaenda hata nywele hazijaoshwa mkifika uko unaanza kupepesa vimacho kwa walopendeza. Once again shame on u.
 
Chukua ushauri huu;
1. Mpe pesa
2. Na sema mpe pesa
3. Mpe fedha.
Lol
 
Hujamvutia. hajakupenda. acha kuforce mambo, otherwise utaishia kuchunwa tu vijisenti vyako. Huo ukimya wake ana-sginal out kuwa she is neither interested nor attracted to you. Wanawake wapo tele, tafuta mwingine na utampata tu atakae kupenda ulivyo, and things will flow smoothly automatically bila kupata ugumu kiivyo.

Acha kupoteza muda wako na vocha zako hapo bureee, eti ooh ''mwanamke hufundishwa kupenda''... eti ooh ''mwanamke hupenda taratibu''... i personally don't believe in this bullshit!! binafsi naamini kuwa a pure ATTRACTION/AFFECTION/LOVE happens at first sight!

PLAN B: Kama ulimtaka kwa ajili ya kupunguza ngenye zako tu (fucck and run), then tumia pesa a.k.a uchawi wa kizungu, utamvua fasta tu. Wanapenda sana pesa hawa viumbe. Ugumu wa chuma dawa yake sumaku!

BTW... MAPENZI kama ni magumu kwako, achana nayo, fanya mambo mengine! Au mwachie Ngoswe ili usije ukaonekana mzembe.

-Kaveli-
 
Unaloweza kufanya usitume tena sms wala kumpigia. Muwe mnaongea naye mkikutana. Ikitokea akalalamika kwamba humpigii baai hapo ujue anafanya makusudi. Hapo utaamua uendelee au kuacha. Ili kama utaendelea naye uje atakusumbua sana huko mbeleni.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom