Wanaume tumeumbwa mateso, kuhangaika

Wanaume tumeumbwa mateso, kuhangaika

Hii ndo dunia now, so usione ajabu. Cha msingi simama kwny misingi ikupasayo na sahihisha wale wny mioyo elekevu.. westgate
 
Last edited by a moderator:
inaelekea mpenzi wa hayo mambo kwa sana naona povu limekutoka kutetea

Wala mimi nipo kiafrika zaidi, lakini sipendi watu wanavyosimanga wanawake, kila nguo na sehemu na msimu wake. mbona hatuoni bikini makanisani au msikitini????????
 
We rudi kachimbe gesi bana,tunafurahia chakula ya machona watembee uchi kabisa.
 
Ndio kwanza nina wiki moja tangu nichukue hii likizo, kwakweli wanaume hapa mjini tunateseka jamani, leo nimeamua kutembea tembea mtaani yani haipiti dakika mbili lazima ukutane na wadada wamevaa nusu uchi.

Wanaachia mapaja yao nje kabisa, wengine vifua vinaonekana,hana tofauti na wife akiwa anaenda kulala,nimeingia Mlimani City kwakweli nlitamani kuondoka,tunatesana wadada wengine tumeoa na tunawapenda wake zetu hizo nguo vaeni ndani kwenu.
Aseeee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom