Wanaume tumeumbwa mateso, kuhangaika

Wanaume tumeumbwa mateso, kuhangaika

Itawezekana kweli na bongo yetu iliyojaa mibaba yenye uchu.
 
Ukiendelea kumshurutisha mkeo kuvaa maronya lazima uki2pa macho kwa wanawake wengine macho yatakuchomoka.
wacha watu wavae watakavyo na Joto hili unataka watu washindie nguo za vitenge na sweta, khaa!!!

Na sa hivi joto kwel
 
Ukiendelea kumshurutisha mkeo kuvaa maronya lazima uki2pa macho kwa wanawake wengine macho yatakuchomoka.
wacha watu wavae watakavyo na Joto hili unataka watu washindie nguo za vitenge na sweta, khaa!!!

Malonya hahaaaaa chakula ya mende mkuu looo nimechoka sana tilio baya kwa macho tu linakera
 
nilikua naamisha gesi mtwara mkuu.... hii likizo ndo imenifumbua macho kidogo, huku mjini yahitaji moyo!!!! hawajui wanaume wanategeka na miili yao

Mtwara hao mabintinwa shooters na maisha hujawaona mkuu mpaka wa darisalama wakupagawishe?
 
Tatizo wakaka wa cku hizi wagumu kuoa! Wadada wengi wako under pressure waolewe, wakaka wameuchuna, so inabidi wadada wewe aggressive kwenye marketing ili kujiongezea soko... Walaumu wakaka kwanza kwa kutochangamkia fursa zilizo wazi kabisa...
 
Ukiona wadada wanakuchangana na vichupi/bikini zao, na wewe mshonee mkeo ili zisikuchanganye!
 
Utazunguka vibanda vyote kwa Mromboo lakini mwisho nyama ni ile ile.
 
kwani joto limeanza siku hizi... acheni kutetea ujinga, mwanamke inabidi ujistili tena inakuletea hata heshima kwenye jamii

Unaijua tafsiri ya kutembea uchi wewe???????? usisahau kuwa kuna watu hata akiona binti kavaa suruali tu tayari anaona sio heshima, kuna watu wanaona heshima ya mwanamke ni nguo za marinda na ndefu hadi chini,Achani watu wawe na uhuru wa mavazi, ili mradi tu mtu hajatembea na chupi barabarani.

HESHIMA PESA NYINGINE ZOTE MBWEMBWE TU.
 
mke hata awe miss world mtu kama anatamani atatamani tu mwingine

Hii hoja ya kusema mnunulie mkeo mimi huwa inanichekesha sana. Kwa sababu suala la kutamani bwana ni vere vere kompleksi. Kwa mfano unaweza ukawa na shemeji pembeni halafu mtoto ni chuma cha haja na hapo hapo akakatiza mtoto mwingine mkali unaweza kujikuta unamtamani vilevile hata kama si mkali kiviile kama uliyenaye hapo pembeni.

Juu ya yote haya mambo yapo akilini zaidi. Ukiamua kuifundisha akili yako kupuuzia inawezekana japokuwa si kazi rahisi sana.
 
ndo kwanza nina wiki moja tangu nichukue hii likizo.... kwakwel wanaume hapa mjini tunateseka jamani, leo nimeamua kutembea tembea mtaanu yani haipiti dakika mbili lazima ukutane na wadada wamevaa nusu uchi, wanaachia mapaja yao nje kabisa, wengine vifua vinaonekana... hana tofauti na wife akiwa anaenda kulala!!!! nmeingia mlimani city kwakwel nlitamani kugeuza, tunatesana wadada, wengine tumeoa na tunawapenda wake zetu... hizo nguo vaeni ndani kwenu!!!!!
Kwa mujibu wa vitabu vya dini...siku ya leo ulikuwa unazini siku nzima!
 
Kutazama unatazama tatizo ni concentration ilikuwa kubwa u kawa una feel huyu akivua inakuwaje? coz hii mivao mbona ina siku nyingi! kama walivyosema wadau wanamume tunakodoa sana macho kama upo na wife kisha kikapita kitu cha nguvu inajikuta umewambwa kofi bila kutarajia.
 
Waendelee hivyo hivyo ili nasie tueendeleze kamchezo ka maji mara moja
 
Apologise lady

Inaelekea mpenzi wa hayo mambo kwa sana naona povu limekutoka kutetea
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom