Wanaume tumeumbwa mateso...kuhangaika

Wanaume tumeumbwa mateso...kuhangaika

maroon7

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
11,346
Reaction score
15,849
264532_480569865388007_655508985_n.jpg
 
Tuweke kwenye katiba mgawanyo wa 50/50 na wenzetu katika ngarambe kama hizi.
 
Duh yaani maskin wanavohangaika kujipatia kipato alafu watu kama hao wanadhulumiwa....

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Angalia miili, halafu mtu anasema watanzania hawaendi gym. Kwanini nitoe pesa kwa ajili ya kujenga misuli wakati naeeza jenga misuli huku nikitengeneza pesa?
Kwanini ninyenyue vyuma bure bure wakati naweza nyenyua kifusi nikiwa nachimba mtaro wa maji mtaani kwangu.
Wito.
Wale fitness maniac unguzeni hizo calories huku mkisaidia jamii na sio kunyenyua chuma kisicho kuwa na kazi.
 
Hahahahaa...ila sasa inategemea maana wengine nature ya kazi yao si kunyanyua vitu vizito...lazma kwenda gym aisee...zoezi muhimu japo mi napigia tu uwanjani
 
Daa aisee, ahsante Mungu kwa kunijalia kusaka kipato tofauti na hawa jamaa wanavyosaka
 
Hao jamaa wameshakufanyia kazi yako halafu uwarushe pesa zao uone huo mziki wake!
 
Back
Top Bottom