Wanaume tuliobadilishiwa "vitasa" na wanawake tukutane hapa,

Haya mambo ya mahusiano sio siri ukiingia kichwa kichwa utaishia kutandikia wenzako majamvi ya maisha wewe unachakaza ndala tu
 
Hata nyie hamsomeki, utampenda mwanaume utajitoa kwa kila hali utaplay a wifey part, yan utajtahidi kila unaloweza atakachokuja kukulipa ni Mungu anajua

Hapo umekaa mda mrefu unajua huyo ndio husbad to be wako mwenyewe, unakataa watu kibao kisa yeye mmoja mwisho wa siku hakuoi vile vile tuhurumianeni!
 
Back
Top Bottom