Wanaume tuliobadilishiwa "vitasa" na wanawake tukutane hapa,

Hata nyie hamsomeki, utampenda mwanaume utajitoa kwa kila hali utaplay a wifey part, yan utajtahidi kila unaloweza atakachokuja kukulipa ni Mungu anajua

Hapo umekaa mda mrefu unajua huyo ndio husbad to be wako mwenyewe, unakataa watu kibao kisa yeye mmoja mwisho wa siku hakuoi vile vile tuhurumianeni!
Hakika ulichokiandika ndo kimenitokea, daah mwanaume sio mtu mwema wamenifanya niyachukie mapenz na kutokuamin kupendwa bado kupo,
 
Hakika ulichokiandika ndo kimenitokea, daah mwanaume sio mtu mwema wamenifanya niyachukie mapenz na kutokuamin kupendwa bado kupo,
Always kupotea njia ndio kujua njia hata usiyachukie mapenzi we ona tu aliewako hajakuja bado atakuja kwa wakati sahihi kabisa

Ndo ilivyo tuwasamehe tu
 
Habari wana jf,
Kuna huu usemi upo sana kwenye mitandao ya kijamii na mtaani "kila nikipata funguo za maendeleo kuna bwege anabadilisha kitasa"

Binafsi mimi huu usemi hua unanigusa sana hasa nikikumbuka asilimia kubwa ya maendeleo yangu kua hafifu yasiokua kwa kasi wanawake wamehusika kwa kiasi kikumbwa sana, unaweza usiwe unahonga sana ila kuna zile za kuwatumia/kuwapa nauli waje eneo la tukio na vimizinga vingine vidogovidogo, na kama sio home basi gest nako pia unalipia, hua tunaziona ni viela vidogo lkn ukipiga hesabu ni ela nyingi kiasi chake,
Mimi ni mwadhirika mmojawapo wa hili, ukiacha hao wa mtaani, kuna wawili niliwahi kuishi nao kwa nyakati tofauti, mmoja alikua anafumua kibubu changu kwa chini anaiba bila mi kujua hadi kuna kujua keshachota sana,
Mwingine alifikia hata kutengeneza tukio la wizi na marafiki zake wakaniibia zaidi ya ml 5 nilikua nakusanya ya kununua kiwanja.

Kifupi ingekua ni nyumba najenga ningekua na mjengo wa zaidi ya ml 50.

Najua haya majanga ya kubadilishiwa "vitasa" na wanawake ni ya wanaume wengi,
Huu usemi nimeutafsiri kwa style hii, wanaume wenzangu mnaguswaje na huu usemi kwa tafsiri yangu?
Waweza sema jinsi gani ulivyobadilishiwa "kitasa" na mpenzi au wapenzi wako.
bd747e2d5775498000453ac06594e307.jpg
 
Hata nyie hamsomeki, utampenda mwanaume utajitoa kwa kila hali utaplay a wifey part, yan utajtahidi kila unaloweza atakachokuja kukulipa ni Mungu anajua

Hapo umekaa mda mrefu unajua huyo ndio husbad to be wako mwenyewe, unakataa watu kibao kisa yeye mmoja mwisho wa siku hakuoi vile vile tuhurumianeni!
Kwa jinsi ulivyonisema ngoja nimpigie simu yule binti anisamehe turudiane.

Kama umepiga ramli maisha yangu
 
Back
Top Bottom