Wanaume tuliobadilishiwa "vitasa" na wanawake tukutane hapa,

Ni noma sana hasa unapogeuzwa kuwa baba Mzazi wa demu na kubebeshwa mahitaji yake yote mpaka kulipia sehemu ya ada kama yuko chuo. Hakika hawa viumbe ni balaa sana
 
Hongera kwa kujitambua mkuu. Mi nashukuru ubahili wangu umenisaidia sana.
 
Back
Top Bottom