kuachwa na mwanamke mwenye sura akitabasamu kama anapiga chafya??? be my guest, anythime!!!
I bet Gadna akiwa kwa bed alikuwa analazimika kuvuta image ya Mariah Carey ili aweze angalau kupata bao
Ni ujinga kukubali kumuoa mwanamke unayedhani ana sura km anapiga chafya...
BTW judith ni mrembo sana,labda utuwekee sura unayodhani ni mrembo,na umemweka ndani...
Ila jestina unaweza ukawa upo right..kwa maana halisi "mrembo" ni aliyejiremba..JD anaweza akapaka hiyo mipoda yake, akavaa nguo za gharama, akasuka anavyojua yeye...mpaka akawa mrembo, I agree but ataishia kuwa mrembo..uzuri atausikia bombaniNi ujinga kukubali kumuoa mwanamke unayedhani ana sura km anapiga chafya...
BTW judith ni mrembo sana,labda utuwekee sura unayodhani ni mrembo,na umemweka ndani...
yaaaani weeeeeuuweeee!!Ruttashobolwa
Layman's perspective!
Topic; Ye mtu mzima bwana yaani alikuwa kaoa ila alikuwa hajui nini cha kujibu lini na vipi ajibu mpaka leo?Kashamjibu mangapi so far tangu wameoana.
Wanaume wengine wanatudharaulisha tu.
Judith ni mrembo??? kuna haja ya kubadilisha maana ya neno mrembo kwenye kamusi ili lilete maana inayoendana na sura ya JD!!! kuhusu kumuoa mwanamke wa hivyo, well..wewe hujawahi kumsaidia mtu kumbebea mzigo? ulijisikia raha ulipobeba au ulikubali kuteseka ili binadamu mwenzio apate faraja? sura siwez kuweka, but I guarantee you wewe hapo ni mrembo kuliko comandoo...na ana sura na mwili wa kikomandoo kweli best
kwa kuanzia hakuna mahali katika postings zangu nimecomment kuwa niliyemuweka ndani ni mzuri, u never know naweza nikawa na huruma kama Gadna nikawa nimeoa polygon!!!Uzuri upo tofauti,utakayemuona mzuri mwingine atamuona.mbaya and vice versa......ndio maana nikakuomba picha ya huyo uliyemuweka ndani km mzuri as a reference tuone km una haki ya kumuita jide mbaya..............pole najua hutonijibu hili...
yaaaani weeeeeuuweeee!!
imagine dume zima na kengele zake kama nyanya chungu shambani linawaza kupeana mipasho na mkewe mitandaoni!!
Too Pediiish as in (always,freestyles na zingine)
habari za asubuhi bulaza!!ankal anakusalimia!!
kwa kuanzia hakuna mahali katika postings zangu nimecomment kuwa niliyemuweka ndani ni mzuri, u never know naweza nikawa na huruma kama Gadna nikawa nimeoa polygon!!!
utofauti wa uzuri upo najua..lakini sio kufikia extent ya kusema Mizengo Pinda ni handsome man!! au kuanza mabishano ya nani handsome as far as Mizengo na Chris Brown are concerned...penye ukweli uongo utajitenga daima
Jay D ni mzuri tena saana tu! ni mzuri sana kwa mipasho, kujistukia, kulialia, kutafuta huruma za jamii na kutokubali kwamba she is a bad loser!!!
Bora umekubali,..........km huna mzuri ndani kwako..then huna mamlaka ya kumwita Jide mbaya..............eti utamuhurumia na kumweka ndani polygon??hivi wewe mzima..??...kwa faida ya nani ukifanya hivi...mnh......naona unaanza kujiuliza mwenyewe km una uwezo wa kuvuta msichana mzuri km Jide....lol ..... pole....Mizengo ni mzuri tena super handsome kwa mama Tunu.....lol
Mwanaume kama Gadner ni FA.LA
Mwanaume tokea lin UKAPENDA VYA KUPEWA.
umeandika maneno meengiiii...what was needed kusema ni kama amjibu au asimjibu...u remind me of my girlfriend, muulize simply, "wnats for lunch baby?" atakwambia "u know nilipokwenda bucha, nimekuta nyama mbaaya na muuzaji mwenyewe anaringa namuuliza nyama ya lini hata hanijibu, nikaenda gengeni, minyanya hiyo ungeiona usingetamani kuinunua, wakati nachagua shogangu Mariam kanipigia kaniambia Mlimani City kuna nyama nzuri ya kusaga...blah blah blah" come oooon, I just asked whats for lunch...too peddish, wont you say?
nashukuru kumbukumbu yako ipo kamili, lile gagulo uloniazima linanipwaya na elastic yake kweli imefunguka...naona ulisahau kuwa we ni mnene kuliko mimi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!we naeeeee
hem kafunge lastiki ya gagulo kwanza bdo urudi!!
mxxxxxxiiou!!
mishipa ya vidole imekutoooooka!!
kelele nyingi humu ni za wanaume na wengine wanadiriki kusena wanaume baba mmoja inamaana wanakubali kama gdna ni malaya kama wao,hivyo jide hanakosa kuponya afya yake kwa kuachana na uomzoga kama gadna angekua mume au muoaji asingemuacha fauzia kwajili ya hela ya Jide hivyo ni gold digger.
Jide kusema anavyojiskia kwasisi tuliosoma saikolojia mana yake yupo kwenye healing process inaruhusiwa.kwa alioeleza niya ustaarabu kwa wanaume mnauchafu mwingi wakuvumiliwa hasa akiwa mlevi.
ndoa ni ndoa tu iwe ya superstar au ya kabwela .jide kajitahidi hadi alipoweza,gadna mbona hana point za makosa makubwa ya mwenzie? ye siamekosewa mbona show of nyingi badala ya point?
kelele nyingi humu ni za wanaume na wengine wanadiriki kusena wanaume baba mmoja inamaana wanakubali kama gdna ni malaya kama wao,hivyo jide hanakosa kuponya afya yake kwa kuachana na uomzoga kama gadna angekua mume au muoaji asingemuacha fauzia kwajili ya hela ya Jide hivyo ni gold digger.
Jide kusema anavyojiskia kwasisi tuliosoma saikolojia mana yake yupo kwenye healing process inaruhusiwa.kwa alioeleza niya ustaarabu kwa wanaume mnauchafu mwingi wakuvumiliwa hasa akiwa mlevi.
ndoa ni ndoa tu iwe ya superstar au ya kabwela .jide kajitahidi hadi alipoweza,gadna mbona hana point za makosa makubwa ya mwenzie? ye siamekosewa mbona show of nyingi badala ya point?