Jayfee
JF-Expert Member
- Jan 9, 2015
- 310
- 1,040
Wakuu habari.
Nawaza nilivyo spend kwa huyu msichana lkn at the end I got nothing. Msichana nimemrushia nauli, kaja kwangu kakaa siku 2 tumefanya mapenzi katumia hela, kaondoka nimempa nauli.
Almost nimetumia zaidi ya 80000 kwa siku mbili..nawaza nachoka Hii pesa ningeisave je? Au familia yang ingefaidi km ningewapa.
Maan natafakari apa nishafany mapenzi lkn sijaon nilichopata kabis zaid ya kuanz kuwaza hela yangu..afu msichana mwenyew sina naye future kabisa.
Wanaume mnatumia mbinu gani kutospend sna kwa mademu?