Wanaume tujifunze kujenga ukaribu mkubwa zaidi na familia zetu

Deleted01

JF-Expert Member
Sep 28, 2018
2,166
5,240
Asalaam,

Natumaini wote mpo salama na poleni na mihangaiko yote ya week nzima.

Niende direct kwenye mada yangu, Ndugu zangu wanaume kiukweli kabisa tunajisahau sana kwenye kuweka ukaribu mkubwa na familia zetu kipindi tupo kwenye peak ya mafanikio au maendeleo makubwa zaidi kwenye maisha yetu. Hii sana sana ipo kwa wanaume wengi waliopo kwenye mfumo wa ajira rasmi kama za utumishi wa umma. Unakuta kipindi jamaa anapata work promotion, remuneration increase na deals mbalimbali za kumpa kipato kikubwa kazini anasahau kabisa kuweka ukaribu na familia yake. So long as ana provide kila kitu na analipa bills basi anaona kashamaliza na hapo ndo where we are going wrong.

Your co workers, driver, fellow businessmen, leaders na watu wengine wengine tunaojuana nao ukubwani hawastahili kuwa na ukaribu mkubwa kwako zaidi ya familia yako. Inabidi ujue kabisa kwamba hilo kundi tajwa hapo juu ni full of strangers ambao watakuwepo kwenye maisha yako in full strength kwa kipindi kifupi sana na kwa kipindi kirefu sana watakuwa very dormant na almost ni kama hawatakuwepo kabisa. Your family will be there forever.

Nimeona niongee haya leo after i came across a scenario where a retired man anaona his family haipo close zaidi na yeye baada ya kuwa retired from work, which is wrong pia hicho kinachofanyika. Lakini ukifatilia zaidi unaona huyu baba kipindi akiwa kazini alikuwa full focused na 3rd parties na ukaribu pekee uliopo na familia yake ilikuwa kwenye provision of payment vouchers. Hela pekee hazitoshi jamani wazee wenzangu, tuwaweke karibu hawa. Tuwafanye marafiki zetu. Muwe na usiku mwema na mnisamehe kwa kuchanganya lugha.
 
Ukikutana na ndugu unwanunulia bia chakula na nauli over
 
Haya mambo huwezi kutoa 100% ya muda na fedha kwa pamoja.
Something is better than nothing. You can try kujiwekea ukaribu ambao utakusaidia sana. Tutakufa kwa depression kisa kujifanya sisi ni watafutaji tu na sio walezi wa familia zetu.
 
Hata kama ukiwa unashinda nyumbani, mwanamme ukizeeka au kufilisika ni takataka tu mbele ya hiyo unayoita familia yako.
SIO KWELI. inawezekana wewe yashakukuta kutokana na makosa uliyofanya ukiwa na nguvu bado.
 
Jaribu kuacha kazi ushinde na familia nyumbani mwezi mmoja, utaleta mrejesho.
Nani kakwambia uache kazi...??
Primary responsibility ya mwanaume ni kutafuta na ku provide. Hio haimaanishi kwamba usitekeleze secondary objective zako.
 
Ukweli mchungu qmbao unapswa kuujua
1. Thamani ya mwanaume kwwnye familia ni pesa tu.

2. Kosa pesa uone kama utathaminiwa hata kama hujastaafu.

3. Mtu akistaafu uwezo wake wa kifedha unashuka wale familia ambao ni kama kupe wanamuona hana thamani tena maana hawezi kuendelea kuwapa pesa, hili sio watoto, mke au hata ndugu wengineo.

4. Muhimu kabisa ni kujiandaa kustaafu uendeelee kuwa na kipato utaishi vizuri tu.

5. Wekeza sasa, baadae uwe na maamuzi usiwe unaiga simu watu hawapokei wanajua unaomba pesa.

6. Jamii na tamaduni hazijatufunza kujipenda au self love, unakuta mtu mpaka anaingia kaburini anahangaikia familia na wengine tu lakini hamna cha maana anachopata, wanaume tubadilike tujiweke mbele na kujipenda na kutojisahau.
 
Ni kazi sana kuwa muajiriwa halafu uwe na full time na family aiseh basi
Ni ngumu kweli lakini jitahidi kadili ya uwezo wako kwamba watu wako wa karibu zaidi wawe watu wa familia yako. Inawezekana kabisa.
 
Ukweli mchungu qmbao unapswa kuujua
1. Thamani ya mwanaume kwwnye familia ni pesa tu.

2. Kosa pesa uone kama utathaminiwa hata kama hujastaafu.

3. Mtu akistaafu uwezo wake wa kifedha unashuka wale familia ambao ni kama kupe wanamuona hana thamani tena maana hawezi kuendelea kuwapa pesa, hili sio watoto, mke au hata ndugu wengineo.

4. Muhimu kabisa ni kujiandaa kustaafu uendeelee kuwa na kipato utaishi vizuri tu.

5. Wekeza sasa, baadae uwe na maamuzi usiwe unaiga simu watu hawapokei wanajua unaomba pesa.

6. Jamii na tamaduni hazijatufunza kujipenda au self love, unakuta mtu mpaka anaingia kaburini anahangaikia familia na wengine tu lakini hamna cha maana anachopata, wanaume tubadilike tujiweke mbele na kujipenda na kutojisahau.
Hizo views zako siwezi kukupinga maana ni mawazo yako binafsi na perhaps una sehemu ushajionea so okay. Lakini nakwambia kabisa kwamba huyu aliyefanya niandike hii thread ana hela nyingi sana na alijiandaa na retirement vizuri sana na bado yupo kwenye board ya maji ambayo siwezi kuitaja so me bado sidhani kama hela ndo sababu.
 
UKweli mchungu, watajifanya hawajauona huu uzi.

Wapo wale watoka kazini saa 12... wanapita baa mpk usiku wa manane ndo wanarudi.
Nyumba zao wamegeuza mahali pa kubadilishia nguo...hlf wakistaafu wanataka familia iwe karibu nao.
 
Back
Top Bottom