Hahahahaha
kwani ina maana watoto hawana haki ya kupendwa?
Alaf ni nani kati ya mwanamke au mwanaume akiomba voucher ni sawa?
elmagnifico umeuaaa, hahaha wadada wanataka wagharimikiwe wakati huduma na package nzima haina mvuto kwa mtalii, vivutio kwa mtalii ni muhimu ili upate foreign currency a.k.a madolari, mayuro na mapaundi
mwe!!! yaani huna haya muda mfefu anagegedwa tuu au alishakuoa?
Daah nimesikitishwa na hii hukumu!
Hivi ni kweli wanaume wote tuko hivi? Au unamuongelea uliyenaye?nimeshindwa kukuelewa kabisa!
Wanaume Siku hizi mnapenda kulelewa,utakuta umetoka out na mpenzi wako hulipi bili,bili ikija unajifanya uko bize na simu
Tumewachoka,simu mnabip mpigiwe,hotel hamlipi visingizio tele mara nimesahau wallet ,kwa mikopo ndo wenyewe,
Tumewastukia,hamna jipya zaidi ya suruali mlizovaa

kuna kamoja katoto kweli ndo kwanza kanasoma crtfct ucc baby i love u nataka nikuoe tuzae sasa nikamuask tutaishije na wewe ndo hivyo kkk akaaema "daddy atanipa nisimamie biashara zake za magari""
nkacheka sna maana ningekabemenda halafu na allergy na watoto wa kiume wazuri.
ha ha mwisho wa siku kanabomu vocha
kitendo cha kuwa mzee nimekukibali na ukiwa kijana nakutoake baruuuunataka wazee? Utatuweza?
Wanaume Siku hizi mnapenda kulelewa,utakuta umetoka out na mpenzi wako hulipi bili,bili ikija unajifanya uko bize na simu
Tumewachoka,simu mnabip mpigiwe,hotel hamlipi visingizio tele mara nimesahau wallet ,kwa mikopo ndo wenyewe,
Tumewastukia,hamna jipya zaidi ya suruali mlizovaa
Eti mara ooh unajua nina Bentley..... mjomba wangu ana Porsche....... haya bill hiyo hapo kauze Bentley ulipe........ nyau....