Wanaume stress tupu!!

mi nafirikiri una tatizo zaidi ya unalo lieleza hapa! hivi umejuaje kama kusagana ndio itakuwa suluhu? mbona sioni mahusiano ya unacho kitaka na
 
Bonnie Mwaitege--Unastahili Maombi njoo uombewe wengi wameombewa.
 
Liwalo na liwe,kila mtu atabeba mzigo wake,kwanini nipate taabu kwa kuogopa ulimwengu utasema nini?Anna nitafute pleeeease
haiwezekani hilo tundu (K) mlilo nalo kizibio (UUme) ndio sisi tumewabebea lazima kiingie hapo ndio sehemu yake hivyo vidole mnavyotaka kutukia siyo...
 
Juzi chini niliongelea masuala haya na kupeleka lawana nyingi kwa wanaume.. haya sasa kazi imeanza.....
Haya ni matokeo ya sisi wanawake kukosa haki zetu baada ya wanaume ku-opt kuhudumiana wenyewe kwa wenyewe. Inashangaza wanaume wamefikia mahali kutuona hatuwatimizii mahitaji yao hadi kuanza kuwatafuta mashoga!!!
 
haiwezekani hilo tundu (K) mlilo nalo kizibio (UUme) ndio sisi tumewabebea lazima kiingie hapo ndio sehemu yake hivyo vidole mnavyotaka kutukia siyo...
umekariri kumbeee sio lazima vidole wewe wala kuingiziana vtu tehe tehe haha haha hha
 
Hahahah mtawa mwenzangu naona unagawa mvinyo....
Haya ni matokeo ya sisi wanawake kukosa haki zetu baada ya wanaume ku-opt kuhudumiana wenyewe kwa wenyewe. Inashangaza wanaume wamefikia mahali kutuona hatuwatimizii mahitaji yao hadi kuanza kuwatafuta mashoga!!!
 
mmm ndio mmefika huko? safari njema ya kupeana raha NITAKUWA WA MWISHO KUAMINI kama kweli hilo ndilo suluhusho la kuridhishana.
 
haiwezekani hilo tundu (K) mlilo nalo kizibio (UUme) ndio sisi tumewabebea lazima kiingie hapo ndio sehemu yake hivyo vidole mnavyotaka kutukia siyo...
umekariri kumbeee sio lazima vidole wewe wala kuingiziana vtu tehe tehe haha haha hha
 
Kumekucha! Sasa wewe unaahidi uaminifu ama ndo yatakuwa yale yale?
 

This is the so called naked truth.... sina cha kuongeza mkuu AshaDii. "Umeongea kama mwanume vile"...Yaani umeuvaa uhusika... Unajuwa wanawake wengi hawaelewi hili na akishajuwa kuwa mwanaume wake katoka nje anadhani kuwa yule wa kando ndo anapendwa zaidi yake nk...Ukweli wakati mwingine mwanaume anaweza kuwa na huo mpango kando lakini wala akili haiko huko. Issue hapa ni Tamaa tu.
 
Last edited by a moderator:

Kama unadhani huku ni salama kuliko huku unapoona ukuna stress utakuja juta kwa sababu huyu mwanamke wenzako atakuwa na wivu kupita maelezo wivu wake utakuwa kwa wote kwa wanawake wenzie na wanaume pia.
Mbona kumjua mwanaume mwenye mapenzi ya kweli ni rahisi sana, we jiheshimu let your NO mean it, kama mwanaume anakupenda kweli mwambie NO SEX UNTILL MARRIAGE uone atakavoruka kama ni mkaaji ata repose tu yaani huo ndo ukweli.
Mambo ya usagaji we achana nayo utakuja regret bure kwa kupoteza muda wako, hivi utajisikiaje kuona rika lako almost wote wanafamilia zao isipokuwa wewe? Kama unaona huku ndo salama nenda ukitoka mtafute psycologist wa kukuweka sawa kabisa
 
Hahahahaha lol! Dena Amsi, una zake nini!? :majani7::majani7::majani7::majani7:

HA ha ha ha kaniudhi sana huyu Anna wanaume wote hawa walivyojazana mtaani eti ukasagane??? Ujinga gani huu. Taksida imetumika BAK
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Mh!!!!!!! Mi mada kama hizi nahisi najiongezea zigo langu lililofurika kwa dhambi hata kwa kucomment!!!!!!!! Im out of here!!!!!! CIAO!!!!!!!!
 
Ni mwanammke lakini nilivyo na kinyaa hata kwa mwili wangu tu.du
 
AshaDii umenena vyema sana ila jamani naombeni nifunguke hapa kiualimu na chonde chonde mods msifute hii post wala kunilima ban lolest!

kwanza kabisa naomba nigeuke upande wa pili wa mtoa mada sitojadili kabisa matatizo ya wanaume ama ya upendo kwani waliotangulia wamesha sema.

dada hapo kinachokuongoza wewe ni hasira tena ambazo umezielekeza kwenye kutiwa kuliko kwenye kutafuta suluhu ya tatizo lako. umeweka moyo wako kwamba nimkomoe huyu bf kwa kupata mwenza ambaye atanipa raha tu na si kitu kingine zaid.

unapotamani kusagana na mwenzio kisa maudhi ya mwanaume nakutafsiri kwa namna mbili kwamba huyo mwanaume hakuwa anakutia vizuri so unataka kujaribu kutiana na msichana mwenzio ili upate raha stahiki na upande mwingine nakutafsiri kwamba ni tabia yako ya kusagana sasa gf wako wote wameshaondoka kundini so unataka ingizo jipya.

naamin katika furaha ya mtu ila siamini katika kupata furaha kinyume na taratizbu ambazo zimezoeleka na zinazoleta hisia mbaya maskioni mwa mtu. ni kweli kwamba utatumia dildo, mtasuguana visimi mtanyonyana nyuchi nk lkn ukasahau kwamba mwisho wa siku ungependa kuwa mahusiano ambayo hata mtu akikukuta mahali hata uliza kwann iko hivi. leo hii ukitoka na bf wako hata mkilaliana hadharani watu wataona poa tu ila ukiwa na msichana mwenzio mkakaliana kiasara tayari unageuka kuwa dar gumzo. kwangu mm huu ni ujinga na badala ya kujipa raha unajinyanyasa mwenyewe. mahusiano yasiyokuwa na amani bado ni mateso badala ya kuwa na raha. huwez ukarudi kwenu ukamwambia baba eti huyu ndo mume wangu (female) dah! sipat picha kwamba hata tu wazazi wako kuhisi kitu hicho kama utakuwa na amani nacho.

acha kuelekeza mawazo yako kwenye starehe ya kunyonywa kisimi na elekeza mawazo yako kwenye kupata amani nafsini iletayo raha. kukwaruzana kupo na hapo inakupasa ujifikirie unapitaje hapo na sio kufikiria kuuendea ubaya.

nisameheeni kwa kutumia lauagha ngumu.ila mwl huwa hana njia rahisi ya kuelewesha zaid ya kutumia mifano migumu.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…