Wanaume Single mnasubiria nini?

muda ukifika ntaoa tu mkuu na mungu akimleta wa kwngu mm ninayefanana naye kwa mapungufu yetu ila kwa sasa shughuli zote ntajifanyia tu
 

Mkuu,

Wengi wenu mmeshatumika sana, mmetembea

KM nyingi.

Unaweza vumilia hilo la KM lakini unakutana na

changamoto nyingine ya uVuvuzela na invoice

zisizo na kichwa wala miguu.



Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Tunakula kimasihara tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…