Duke Tachez
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 5,461
- 4,165
unaweza ukawa katika mahusiano japo hujaoa so no shida yoyote wala upwekeJamani wanaume ambao hamjaoa shida nini kwa maana zamani ilikuwa mnasingizia tunapenda hela na sasa mnasingizia corona hii hali ya kuishi wenyewe hamchoki just imagine everytime unafanya vitu mwenyewe kupika , kufua , kuosha vyombo ukiumwa hakuna wakukisaidia majuku yote hayo .
Hamuoni ni muda wakutulizana na kupata msaidizi?
Tuchambue hili jambo mnakwama wapi?
Hakuna maisha matamu kama USINGLE..Jamani wanaume ambao hamjaoa shida nini kwa maana zamani ilikuwa mnasingizia tunapenda hela na sasa mnasingizia corona hii hali ya kuishi wenyewe hamchoki just imagine everytime unafanya vitu mwenyewe kupika , kufua , kuosha vyombo ukiumwa hakuna wakukisaidia majuku yote hayo .
Hamuoni ni muda wakutulizana na kupata msaidizi?
Tuchambue hili jambo mnakwama wapi?
Namba 2 hiyoHakuna maisha matamu kama USINGLE..
1. Matumizi ya pesa yako unayapanga mwenyewe.
2. Huhitaji ruhusa ya mtu yeyotee kwenda sehemu yoyote.
3. N.K
#YOUR FREE FROM EVERY KIFUNGO..!!
#YNWA
Wrote from Anfield..!!
Sijaoa natafuta humu piaNatafuta humu je wewe?
Ha ha haMkuu kuoa mapema ni sawa na kuondoka kwenye shelehe mda wa kula
Sababu ni moja tu,Jamani wanaume ambao hamjaoa shida nini kwa maana zamani ilikuwa mnasingizia tunapenda hela na sasa mnasingizia corona hii hali ya kuishi wenyewe hamchoki just imagine everytime unafanya vitu mwenyewe kupika , kufua , kuosha vyombo ukiumwa hakuna wakukisaidia majuku yote hayo .
Hamuoni ni muda wakutulizana na kupata msaidizi?
Tuchambue hili jambo mnakwama wapi?
ππ€
Nioe saiv niishiwe dam? Wanawake wakuoa walkuw zaman sio saiv tutapeana stress buleeJamani wanaume ambao hamjaoa shida nini? Zamani ilikuwa mnasingizia tunapenda hela na sasa mnasingizia corona, hii hali ya kuishi wenyewe hamchoki?
Just imagine everytime unafanya vitu mwenyewe kupika, kufua, kuosha vyombo na ukiumwa hakuna wakukisaidia majukumu yote hayo.
Hamuoni ni muda wa kutulizana na kupata msaidizi?
Tuchambue hili jambo; mnakwama wapi?
Humu??, utawapata wengi sanaaa. Kazi kwako kuchambua mbivu na mbichi.Natafuta humu je wewe?
Usijali my sweet L.. Mumo niko hapa.. Zama inbobo faster!Jamani wanaume ambao hamjaoa shida nini? Zamani ilikuwa mnasingizia tunapenda hela na sasa mnasingizia corona, hii hali ya kuishi wenyewe hamchoki?
Just imagine everytime unafanya vitu mwenyewe kupika, kufua, kuosha vyombo na ukiumwa hakuna wakukisaidia majukumu yote hayo.
Hamuoni ni muda wa kutulizana na kupata msaidizi?
Tuchambue hili jambo; mnakwama wapi?
ππ€