Wanaume, simu zenu zina nini?

Kumbe hili tatizo la kijamii ehh??
 
Umalaya uko wa aina nyingi sio lazima uwe physically hata wa kwenye mtandao ni umalaya na usaliti vilevile....Ukiona mwanaume wako hakuachi huru na simu yake ujue kawapanga wengi na ndio maana hata kitandani anakuja saa sita coz he has alot of women to be pleasing....Just speaking my mind.....
 
Mnasemeswa hata kujibu mnashindwa kisa bado!!!! Jamni ukitaka udumu kwenye ndoa yako kwa amani na upendo acha ku chart kwenye hii mitandao, mana mnafanya sim kama wake zenu,mkeo yuko kitandani saa tatu we kwenye kochi mpaka saa sita.mh!!!

Wewe ni mmarangu?
 
Kwanini unaenda kulala kitandani bila mumeo??Kaa nae achat on ur face ka kanyimwa mshipa wa haya ka kijogoo,halafu na akijifanya anakupuuza na ww chukua sim yako ikisha chat na ufurahi kwa sana...Utakufa siku zako loh hujui ka dawa ya moto ni moto.....Give it back to him on his face sawa mamii ehhh...Ukiona hakuna hata kawivu ujue mapenzi kwishnei!!
 
Tatizo badoo mama yaan kule Ni gusa unate yaan Ni unachagua Tu Kama upo Mori pale!!!!!
 
Mmh! Mmmh! Haya yanatukuta wengi potezea tu au jiunge ma group ya what's up hata ya mapishi alafu ukimuona jamaa yupo busy na wewe chat, chat wee ,chat mama mpaka alale na ukiwa unachat uwe unacheka hata vicheko vya uongo! Siku 2 atakuwa wa kwanza kukuliza huwa unachat na nani usiku hapo ndo pa kupata muda na wewe kummwagia duku duku lako,umesikia? Umenielewa?
 
Mnasemeswa hata kujibu mnashindwa kisa bado!!!! Jamni ukitaka udumu kwenye ndoa yako kwa amani na upendo acha ku chart kwenye hii mitandao, mana mnafanya sim kama wake zenu,mkeo yuko kitandani saa tatu we kwenye kochi mpaka saa sita.mh!!!
Wewe ndo mwenye haki ya kutumia mitandao hii kuliko mmeo!!!?
 
Dah nashkuru wife anajua kila paswd yangu ,kuanzia simu email mpaka ya hapa JF yaani hata nikifa leo sipati tabu mtu wakufuta account zangu,kama nimeshaamua kuwa na mke nje nataka nini zaidi?
nahuyu mleta uzi anasema bado au badoo?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…