Huyu mwamba ukikutana naye kwenye foleni ya ATM kakaa mbele yako, muombe tu akuruhusu uanze wewe, akianza yeye anamaliza hela zote kwenye ATM halafu akaunti yake ndiyo kwanza inapiga jalamba hata mchezo haijaanza.
Siku moja alienda kufanya transaction benki mpaka meneja wa benki aliomba msamaha kwa sababu alikuwa anaweka hela ina tarakimu nyingi sana mpaka zile karatasi za benki zikawa zimefika mwisho kwenye ledger line lakini hela ya mchizi haijaisha kuandikwa.
Ikabidi wamtengenezee karatasi zake mpya za peke yake.
Mi ikitokea nikaja kuwa na mke basi simu yangu, email, JF account na kadhalika vyote atakuwa na access navyo.
ulidhani mechi ya kirafiki kumbeWanajamvi natumai siku yenu imeisha salama salimini,hivi inakuwaje mwanaume una mke,ila kucha kutwa uko bzy tu bado, jamani mnatafuta nini huko au kuna la ziada,? Mwanaume anakula na sim mkononi ni ku chart tu na wanawake mnaandikiana sms za ngono tu, mwanaume una lala sa sita kisa bado!!!mh!!! Siamini kama ni wote mtakuwa na hiyo tabia,ila nitafsireni mwanaume wa hivi ana maana gani?mnapaka kufanya kazi fulan mwenzako anaingia ndani udhani labda kaenda kujisaidia anachelewa unaamua kumfuta una kuta yuko bz na sm bado!!!!! Sim hizi!!
Avatar yako sasaaa haaahaUnajuaje kama anachat na kutumiana sms za ngono na wanawake?acha umbea sometime mambo ya kazini hayo ebo!!
And here goes my campaign manager. No wonder I miss you sometimes hehehe.
Natumai uko poa bestie
Best niko poa bila doa ukweli natoboa kosoa
Sijashoboa Dar, mkoa, hata kohoa, nini kuita goa
Changudoa wachojoa, kusaka kukojoa Noah
Mi naboa, kazi kutoa ndoa Lusaka ka "Love in Goa", wenyewe wataloa
Wapambe noa, Magufuli kawazoa kwa tingatinga
Sitaki ujinga, Mbeya Mbinga,Iringa, shamba nishakinga
Huku nabembelezwa kwa kuimba ka kitinda mimba
Ingawa kiukweli jemedari, wa awali first born, kikosi cha mizinga
First born kaka mkubwa, sometimes poa sometimes mkoloni
Sometimes tupatupa, sometimes noma ka kolokoloni
Picha bafu barafu wanauliza "Hili duka la Cologne?"
Wataka biashara chafu tafu ka Mchaga wa Kiborloni
Nachapa project, navuna mishahara
Natafuta jet, commercial wanahara
Dar mjini nakuja kausha ATM
Mpaka majini makini waseme "huyu mtoze kodi ya CCM"
Nashika elimu silaha, ka picha ya Bisimini
Wanakosa raha kwa ticha wa kula yamini
Natua popote kama helikopta ya jeshi
Nakomba Mayotte, si kukopa, mali cash
Najenga hoteli kikweli kama Membe
Kisha ua bendi ka Jongo na Mpeli chini ya mwembe
Watoto shobo kinembe, sembe wembe na tembe
Huku tushawapa tobo trekta na jembe
Naunganisha ghaibu na masahibu ka daraja la Nyerere
Huku naharibu ngebe na ndogondogo kelele
Perege na nyangumi, wapi na wapi
Nawapiga ngumi, tenga nafaka na kapi
Kwetu Mchafukoge tangu kabla ya Maji Maji
Mpaka leo wagawana tonge Dewji na Manji...
Shall I Continue...?
Tugawane mishahara hiyo basi.Hahaha ungeacha bhange, manake zimeanza kukukataa. Yaani nimecheka kama vile nimepata 13th month salary lmfao!
Ishia hapo Kaka, imetosha!
Baba we,kwahiyo sie wachaga wa kiborlon tunataka biashara chafu?Best niko poa bila doa ukweli natoboa kosoa
Sijashoboa Dar, mkoa, hata kohoa, nini kuita goa
Changudoa wachojoa, kusaka kukojoa Noah
Mi naboa, kazi kutoa ndoa Lusaka ka "Love in Goa", wenyewe wataloa
Wapambe noa, Magufuli kawazoa kwa tingatinga la Singasinga
Sitaki ujinga, Mbeya Mbinga,Iringa, shamba nishakinga
Huku nabembelezwa kwa kuimba ka kitinda mimba
Ingawa kiukweli jemedari, wa awali first born, kikosi cha mizinga
First born kaka mkubwa, sometimes poa sometimes mkoloni
Sometimes tupatupa, sometimes noma ka kolokoloni
Picha bafu barafu wanauliza "Hili duka la Cologne?"
Wataka biashara chafu tafu ka Mchaga wa Kiborloni
Nachapa project, navuna mishahara
Natafuta jet, commercial wanahara
Dar mjini nakuja kausha ATM
Mpaka majini makini waseme "huyu mtoze kodi ya CCM"
Nashika elimu silaha, ka picha ya Bisimini
Wanakosa raha kwa ticha wa kula yamini
Natua popote kama helikopta ya jeshi
Nakomba Mayotte, si kukopa, mali cash
Najenga hoteli kikweli kama Membe
Kisha ua bendi ka Jongo na Mpeli chini ya mwembe
Watoto shobo kinembe, sembe wembe na tembe
Huku tushawapa tobo trekta na jembe
Naunganisha ghaibu na masahibu ka daraja la Nyerere
Huku naharibu ngebe na ndogondogo kelele
Perege na nyangumi, wapi na wapi
Nawapiga ngumi, tenga nafaka na kapi
Kwetu Mchafukoge tangu kabla ya Maji Maji
Mpaka leo wagawana tonge Dewji na Manji...
Shall I Continue...?
Nikiambiwa nichague kumuachia simu yangu mke wangu kwa muda wa masaa manne au kukaa jela siku nzima nzima nachagua kukaa jela.
Lengo ni kuilinda ndoaDuh!
Kujitesa kote huko kisa nini?
Lengo ni kuilinda ndoa
Na kwanini uzime sim??Mungu atusaidie tu HAHAHAHAHAHA maana tukifika home tukizima Simu ili tusichati mnakuja na kesi nyingine, Kwanini Umezima simu!!!