[emoji23][emoji23] VP tena akaamua kuyeyaTuna mahusiano ya muda mrefu tu zaidi ya mwaka, huyu jamaa tangu naanza nae mahusiano amekuwa akilazimisha nimwambie kuhusu background yangu ila mimi namkwepa
Yaani yeye kazi yake ni kunihadithia kuhusu ex’s zake mara ooh mara uuh anyway mimi sijajali sana kuhusu hilo
Katika story story tukajikuta tumeingizia hiyo mada tena tunatania basi ye kusema ashatembea na dadaz wengi tu na Mimi nikamwambia yeye ndio wa pili kwangu
Swali likaja ilikuaje ukatolewa bikira… nikamuelezea ilivyokuwa tukaagana leo siku ya 2 hatuwasilianii
Kwani kosa langu nini hapo nyie wana JF
[emoji23][emoji23][emoji23]Eeeh uache kisirani unauliza uliza hayo maswali ya kazi gani kwamba una hisi bikira inatolewa na upepo
Kiukweli ht mm huwa cpend aisee naweza kukupotezea mazma tu ukinpa story hzoUsiwahi kumuhadithia mwanaume wako kuhusu ulivyotolewa bikra. Wengi hisia hukata na wachache wanaweza kulipokea japo kuna kitu kitapungua (Kwa kujua au kutokujua).0
Mpe bikra iliyobakia kwani ulimaliza zote?Sasa kama kachelewa kunijua yaani tufanyaje
Anakusimulia alivyoliwa kisamvu kinguvumimi mwanamke akitaka nimuache bila kujua sababu awe anaongelea maex wakeee yani napita hiviii chap
Sio kweliHakupendi.mtu kukusimulia mambo ya ex wake ujue moyo wake kaacha huko
Si ndio hpo, mm mwenyewe kuoa mwanamke asie na bikra ni never,msimamo wng ni huo mpk mwsho ht nidanji Leo[emoji23][emoji23]Tulia umeyataka mwenyewe
Yaan wengine watoe bikra yeye ndiyo aoe??? Halafu alipe na mahari? Daaah inauma sana
Nyie mabinti mnachekesha sana
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
yani anakuwa anamkandia au kumsifia ujinga ex wake...!! naona ufala tu..Anakusimulia alivyoliwa kisamvu kinguvu
Kuna wenzio wanaoa ambae ameshapoteza bikra zoteSi ndio hpo, mm mwenyewe kuoa mwanamke asie na bikra ni never,msimamo wng ni huo mpk mwsho ht nidanji Leo[emoji23][emoji23]
Anamsifia kwamba alimla kisamvu kinguvu unauliza ilikuaje anasema baadae akazoe akawa anapenda mwenyewe kuliwa kisamvu, unamwangalia tuyani anakuwa anamkandia au kumsifia ujinga ex wake...!! naona ufala tu..
[emoji23]Wazee sisi hata usiulize umri tumezeeka
Kuna watu hawajawahi toa bikra.Nawashangaa sana sasa kama unajua ni muhimu oa uliemtoa bikira unamuachia nani sasa… kama unajua umemtoa mtoto wa watu bikira na hajaolewa nenda umuoe mbona ni simplee
Ni wao sio mmKuna wenzio wanaoa ambae ameshapoteza bikra zote
Nakubari sana topic zako kyomaNi kweli jamaa ni wa pili kwako?
Tuanzie hapo kwanza...
Jamaa kahisi umemfunga kamba...na pengine yuko sahihi 😁😁😁
All in all, maongezi ya aina hii hayana faida kwa mwanaume
Vipi uko naye sasahivi?Mimi huwa nina tabia katika mastory lazima niwaongelee maex's,kumbe hii ikawa inamuumiza sana mke wangu
Baadae nae akaanza kuwa ananipa mastory yake mengi mengi ya kuhusu kuliwa na mpaka alivyotolewa bikra na jamaa mkubwa tu alikuwa daktar yeye wakati huo akiwa form 2,pia akawa ananihadithia jinsi alivyokuwa analiwa na wababa wazima wenye familia zao tena yeye akiwa kidogo kident,nikawa naumia kiaina ila napotezea
Ila kuna siku alinipa story ambayo niliumia sana mpaka leo,aliniambia aliwah kuwa na mahusiano na dogo aliekuwa form 2 na wakat huo mke wangu alikuwa ameshakuwa mkubwa tu yupo mtaani,na aliliwa na huyo dogo kimasihara na baadae ikatokea akampenda kiukwel kwel huyo dogo,hii story ilinipiga ganzi
labda aliona hii postNimekuwa na mahusiano na kijana kwa mwaka 1 na miezi 10 ila sijawahi kupata yale mahaba yenyewe. Ukitoa zile siku za mwanzo ni za mahaba, ile miezi 3 ya mwanzo.
Mfano kukuita majina mazuri mazuri like sweetheart, honey, mke n.k Yaani kiufupi hana matendo ya mahaba.
Unaweza kumuaga kwenda mahali akakwambia sawa ila hakuulizi unaenda wapi na kufanya nini, kiufupi hana amshaamsha.
Anaweza kukaa hata siku 3 hamjawasiliana na akikutafuta hamna hata stori.
Mwenzenu nimechoka natamani kupata mtu ambaye ana mahaba na mimi nifurahie.
Mpaka nimekumbuka Ex wangu alikuwa ananiita majina matamu hata kama ananidanganya.
Naombeni majibu-
- Ni tabia ya wanaume wa Kichaga?
- Ni Tabia ya mtu binafsi?
- Hanipendi?
Npo nae,ananipenda sana,shida ni kuwa ana wivu mpaka kuna muda ananikosea heshimaVipi uko naye sasahivi?
Heshima bado ipo?
Anafanya Matendo gani ya kukukosea heshima?Npo nae,ananipenda sana,shida ni kuwa ana wivu mpaka kuna muda ananikosea heshima