Wanaume punguzeni kulalamika

Wanaume punguzeni kulalamika

Mgirik

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
13,258
Reaction score
13,368
Katika pitapita zangu hapa na pale nmesikia malalamiko mengi sana ya vijana dhidi ya wanawake. Hata hapa jf hasa MMU kumekuwa na malumbano mengi sana ya kuwa wanawake wengi siku hizi wanapiga sana mizinga............ Jaman hiyo mizinga mnayoisema ilikuwepo tangu zaman, huo ndio utaratibu wake ktk mapenz. Kukwepa mizinga ni sawa na kufanya biashara bila kulipa kodi. Ili mambo yaende sawa lazma mwanaume utoe kitu. Hapa ni toa kitu upate kitu......... Sasa kama wewe unaona kumhudumia mwanamke ni mzigo acha wahudumie wanaoweza halafu uishie kulalama tu...............
 
Mkuu sina sababu ya kulalama, sihudumii mwanamke na sina mwanamke.
 
uwekezaji kwa mwanamke nikumkaribisha ibilisi wa kuua mikononi mwako.
maana ukiwekeza kwa hao nyangudwe then waje wakutende hasa ukichapiwa mbona lazima utaongea kirumi na kimangote
 
"Biashara bila kulipa kodi" lipa kodi kwa maendeleo ya nchi yako!!!!!
 
hiv unataka kutomhudumia mwanamke ndio njia ya kupunguza kuchapiwa au maumivu pindi ukichapiwa??
 
"Biashara bila kulipa kodi" lipa kodi kwa maendeleo ya nchi yako!!!!!

bila shaka!! Nalipa kodi kwa maendeleo ya nchi yangu vivyo hvyo hudumia mkeo kwa lengo la kudumisha penzi lenu
 
Content yako inazungumzia kumhudumia mke au mwanamke?
 
Ni kweli kaka me huwa nasema, if you can not handle the heat in the kitchen, go out
 
Nadhani kuna baadhi wana tafsiri vibaya au sijui ndio maneno ya mjini,hiyo mizinga mara nyengine wana stahili kupigwa sababu baadhi ya wanaume wengine hawana haya Kama kauzu,ukinyamaza hakupi anakuona unazo.
 
Tatizo ni kwamba wapo wanawake wanaao dai hela nyingi kupita kiasi. halafu mwisho wasikuwanakuwa wasaliti.
 
Back
Top Bottom