Wanaume piteni hapa

Wanaume piteni hapa

Waarab daahhh wasafi sana..i will never forget such kind of love..it was amaizing..ulinifanya nikajua thamani ya upendo kweli ulinipenda kwa dhat nami nilikutendea haki..wasalimie oman malikia wangu
Lazma wawe wasafi. Muda wote wapo ndani. Hata kupika wengine hawawezi.
 
Aiseee kati ya watu wanaojua kupika mkuu waarab wanaongoza,wanapenda kutumia spice sana kama iliki,mdarasin,karafuu,binzari,we acha mkuu hao watu ni next level
Kumuweka ndani huyo uwe na hela. Usifikiri atakaanga maandazi aweke nje auze.
Wewe lete apike.
 
Ndio maana tunapambana usiku na mchana kutafuta pesa ili tuish maisha mazur zaid...wakat vijana wa dar mkitafuta six packs
 
Ndio maana tunapambana usiku na mchana kutafuta pesa ili tuish maisha mazur zaid...wakat vijana wa dar mkitafuta six packs
 
waarabu kidogo fresh, wajapan, wachina, wafilipino, wahindi, wasouth, venezuela, cjawaelewa kbsa....wadada zetu wa kibongo na hapo congo ni habari nyingine aisee, wanawake mashine
 
Ni kweli. Nina dogo mmoja wa kiarabu. Kiukweli ananipa morali ya kutafuta.
Pambana mkuu dem wa hivyo ndio mzur anafanya uwe na mipango endelevu..sio unakua na dem wa kizaram ata mkila dagaa mwezi mzima hakuulizi mwenzangu vip!yeye anawaza madela tu, hapo kuwa na maisha mazur ni ngumu sana
 
Kweli mzee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom