Msukumakizazi
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 2,599
- 2,100
Huwa unawatoa wapi wa hivyo? mbona mimi niko msafi tu!!! jitahidi kuchagua.Wanaume wengi ni wavivu kufanya usafi wa nguo za ndani, soksi na hata makao makuu. Unakuta jitu limefuga manyele ya kwapa kama rasta, kule kwa dushe ndo usiseme loh! Embu nyoeni muepuke aibu na magonjwa.
Wanaume zama zimebadilika.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Shukrani mamii, nawe pia.
Kunyoa sio kuepuka magonjwa bali nikujiweka karibu sana na maambukizi.....na hasa ukizingatia kuwa kunyoa kuna sababisha vitundu vya ngozi kuwa wazi sanaWanaume wengi ni wavivu kufanya usafi wa nguo za ndani, soksi na hata makao makuu. Unakuta jitu limefuga manyele ya kwapa kama rasta, kule kwa dushe ndo usiseme loh! Embu nyoeni muepuke aibu na magonjwa.
Wanaume zama zimebadilika.
Linah i need you!
Hahaaaa. Pole yao aiseeWanaume wengi wanasumbuliwa na ulimbukeni wa uanaume wao
Si ndio.Ukikutana na mwanaume wa hivyo mwambie tu ajifanyie fatiki au we umfanyie usafi na mambo mengine yaendelee
Changanya na zako mkuuuZa kuambiwa......
Hv na za kichwan usiponyoa unapata magonjwa eeeh?[emoji4] [emoji4]Wanaume wengi ni wavivu kufanya usafi wa nguo za ndani, soksi na hata makao makuu. Unakuta jitu limefuga manyele ya kwapa kama rasta, kule kwa dushe ndo usiseme loh! Embu nyoeni muepuke aibu na magonjwa.
Wanaume zama zimebadilika.
Yamekupata? Kama nakuona vile unavyomsuka jamaa mabutu kunakoWanaume wengi ni wavivu kufanya usafi wa nguo za ndani, soksi na hata makao makuu. Unakuta jitu limefuga manyele ya kwapa kama rasta, kule kwa dushe ndo usiseme loh! Embu nyoeni muepuke aibu na magonjwa.
Wanaume zama zimebadilika.
Mbona hakuna uhusiano mkuuHv na za kichwan usiponyoa unapata magonjwa eeeh?[emoji4] [emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaume wengi ni wavivu kufanya usafi wa nguo za ndani, soksi na hata makao makuu. Unakuta jitu limefuga manyele ya kwapa kama rasta, kule kwa dushe ndo usiseme loh! Embu nyoeni muepuke aibu na magonjwa.
Wanaume zama zimebadilika.