Kweli kabisa usafi wa mwili ni wa mtu binafsi hivyo wakitaka eti ukimkuta ana kichaka eti uende ukanunue topaz hiyo hata siafiki kwa kweli.
Nimekumiss pia dada ake tena sana. Niambie dada yangu mzima weye?
Wanaume wengi wanasumbuliwa na ulimbukeni wa uanaume waoKweli kabisa usafi wa mwili ni wa mtu binafsi hivyo wakitaka eti ukimkuta ana kichaka eti uende ukanunue topaz hiyo hata siafiki kwa kweli.
Nimekumiss pia dada ake tena sana. Niambie dada yangu mzima weye?
Ili tupate pakuanzia sasa...Jibuni hoja acheni maswali
Sina hakika kama umejibu hojaNa ww kwann uwe unawaona wanaume wengi ?,tafuta mmoja tu utulie,au ulikua unafanya research (
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatisha,maana inaonyesha research yako umeifanya sehemu mbalimbali.Hahahaha! Dalili ya kuishiwa hoja
Sasa kwa taarifa yako zile nywele kunako maeneo ni kinga ya magonjwa mbali mbali ikiwemo UTI n mengine ya znaaa.... nyie endeleen kunyoa tu n mtakipata mnachokitafuta cku1Wanaume wengi ni wavivu kufanya usafi wa nguo za ndani, soksi na hata makao makuu. Unakuta jitu limefuga manyele ya kwapa kama rasta, kule kwa dushe ndo usiseme loh! Embu nyoeni muepuke aibu na magonjwa.
Wanaume zama zimebadilika.
Unajifariji?Sasa kwa taarifa yako zile nywele kunako maeneo ni kinga ya magonjwa mbali mbali ikiwemo UTI n mengine ya znaaa.... nyie endeleen kunyoa tu n mtakipata mnachokitafuta cku1
Sent using Jamii Forums mobile app
Kazi ya Mungu haina makosaHahahaha! Kwa hiyo mengine ni hifadhi ya taifa?
Dah wapi huko?
Ndio hapo sasa yapo ambayo wanawake yanatuhusu ila ya usafi wa mwili wajitahidi tu kwa kweli.Khaaaah!! Yaani hawa bwana, kila tatizo lao huwa wanawaamishia wanawake wakati ni wachafu tu!!
Mie mzima wa afya kipenzi, sijui weye?
Sehemu moja hivi. Tumia web kuingia jf utaona kuna sehemu nime kumention.Dah wapi huko?
Wqjifanyie tu usafi kwakweli, wasitafute visingizio.Ndio hapo sasa yapo ambayo wanawake yanatuhusu ila ya usafi wa mwili wajitahidi tu kwa kweli.
Mie pia sijambo dada ake. Nadhani tunapishana kidoogo.
Kweli kabisa. Uwe na weekend njema dada ake.Wqjifanyie tu usafi kwakweli, wasitafute visingizio.
Shukrani mamii, nawe pia.Kweli kabisa. Uwe na weekend njema dada ake.