Wanaume palilieni shamba lenu

Umeachika tayari, umerudi... Najua kwa hasira zako, ndo umeanza kumuanika muhenga mwenzio hapa,.. Tutasikia mengi

"Ukifuga njiwa utajua bei ya mtama"
Ulinioa wewe mkuu?
 
mkuu pole kwa kuwa na mwanaume mchafu........ pia inaonekana wewe pia una hulka hiyohiyo kwanini umwache mpenzi wako awe katika hulka hiyo...😡😡😡
Una uhakika na ukisemacho?
 
Nao huo ni utafiti !!!! Zile za puani! Sawa kila mmoja anaziona. Zile za kidevuni ! Sawa hazijifichi
Zile za kwapani! Sawa yawezekana vest imevaliwa

Msitu huu utafiti wake mgumu inahitajika Maelezo zaidi
Mbona lugha iliyotumika imeeleweka, kitu gani usichoelewa au mshale umetua kwenye moyo?
 
Za kuambiwa......
 
Hadi kukamilisha utafiti umeona vichaka vingapi na kati ya wanaume wangapi? Ulichagua sample yako kwa vigezo gani?
Vingi tu mkuu, mmoja wapo ukiwa ni wewe
 
Ni kweli, lakini umewahi kutambua kuwa kuna wanawake wanapenda misitu maeneo hayo?
Umewahi kufikiria kuwa ipo sanaa ya kuzitumia nywele za huko zikanogesha mechi?
Bila shaka hapana, basi sio kila jambo ni baya kwa wote.
NB:
Hilo la usafi ni sahihi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…