Wanaume njooni mfunguke.

Nashukuru maana sio mwanaume wa Dar ila najibu kama mwanaume, kwa upande wangu sipendi na sitaki kujua kuwa kusudi la Dada kuwa pale ni ku.... To..... M.... Bwa hivyo najaribu kuvuta picha ninavyo mviringa demu Wangu halafu eti nipo pale kwa Dada yangu ambae amekuja pale kuviringwa hapo akili yangu inagoma kuwa na hii familia ya Dada yangu karibu maana najua siku hazifanani kuna siku Dada atapunguza mapishi ya bed halafu bwashe atanunia mapaka chakula we utasalimika kununiwa ? Hapo inakuwa ngumu sana
Hupendi mafanikio ya dada yako .....una roho mbaya ....sana akishavirigwa asubuhi yake inatakiwa unampa pole alaa!
 
Unakaa kwa dadako unamnyima uhuru wa kuvaa kanga moko sebuleni umekomaa na tamthilia za kikorea......Mwisho dada anaamua kujiachia hvohvo...
Hii ndo point ya msingi, unamnyima kabsa uhuru wa kujiachia ndani/ sebureni kwake akiwa anampokea mumewe
 
Shida ni pale shemeji anapomgonga sister wako usiku nzima...unatamani aongeze mahari...hafu wewe huna hata mia...hapo mahousemaid ndo kimbilio lako
 
Back
Top Bottom