Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,640
- 21,258
Nyie wa kolomije hamkai kwa mashemejiWanaume wa Dar njooni mtoe ushuhuda
Sisi tukijia kuoa mikoani nyie mnafuata dada zenu mjini kurudi hamtakiPoleni sana wanaume wa Daslam. Nadhani Shemeji hatakawia kusema kwamba unafanana na dada yako, so jua tu kwamba siku dada akiachika unaolewa wewe
Yeah mkuu..kighetogheto kwa sanaNyie wa kolomije hamkai kwa mashemeji
hatutakiWanaume wa dar mkuje jaman mnaitwa
Labda muombewe maji ya kunywa!Aya bana ila wanaume wa dar tunakazi kwelikweli inabidi mtuombee
Poleni sana wanaume wa Daslam. Nadhani Shemeji hatakawia kusema kwamba unafanana na dada yako, so jua tu kwamba siku dada akiachika unaolewa wewe
Soma vizuri utamwelewa.Hahaha.
Wewe unaolewaje mkuu.