don't have sex before marriage.... Problem solved, no need to go through all that trouble. I believe God had His intentions of telling people not to commit adultery, and we are seeing now how evil and corrupted the world has become because of ignoring these simple principles outlined in scriptures,
if you do things the wrong way you can't expect the right results!
Sidhani kama ntaweza kujibu hayo maswali yako, atleast kwa sasa!Mkuu hujawahi kufanya sex toka umezaliwa?..una umri gani now??...kama umeanza baada ya kuoa,ulioa ukiwa na umri gani?...am jst curious
Mimi kama mwanamke nimepitia mengi,kama mshauri pia nimepitia mengi
Naomba mnisaide tu maswali yafuatao:
1. Ni nini waga kinabadilika kwa wanaume wengi baada ya kufanya mapenzi na msichana,wasichana wengi wanalalamika baada ya kufanya mapenzi mnabadilika na wengine hamuonekani tena????what goes wrong? Je mnapenda wasichana wa-play hard au wale wanaokubali haraka????
2.Mnavyokuwa mmewaacha wasichana,waga mnaumia ile msichana anavyokuwa anakutafuta unamchunia,simu hupokei,email hujibu,nyumbani unawaambia waseme haupo??
3.Waga mnataka nini hasa kwa msichana,yani focus yenu kubwa ni nini,sex,feelings,company au ni nini?
Natumai maswali si mengi sana.

....TRY ME....I MIGHT....Done trying babe...! I want to be sure from the beginning, you can start by saying you are different....let's do this....Will calculate the risks and if convinced, give it my best....ha ha ha ha ha!
Acheni uzinzi. Subiri muolewe ndipo mmegwe. Mnahangaikia nini? Mwanaume hana akitafutacho zaidi ya kukutusua na akigundua uchi wako ni wa kawaida kama wengine anajiona mjinga alivyokuwa anahangaika kabla ya kukupata na anakudharau wewe uliyekuwa unamzungusha. Kama utapenda kuendelea kugawa uloda kabla ya ndoa, basi mtu akikuomba usimzungushe, mpe mara moja.
Wengine mnaachwa kwa sababu mtu akikugegeda anakuta mambo ni tofauti na alivyotarajia (maumbile, ufundi au labda uchafu)
Mimi kama mwanamke nimepitia mengi,kama mshauri pia nimepitia mengi
Naomba mnisaide tu maswali yafuatao:
1. Ni nini waga kinabadilika kwa wanaume wengi baada ya kufanya mapenzi na msichana,wasichana wengi wanalalamika baada ya kufanya mapenzi mnabadilika na wengine hamuonekani tena????what goes wrong? Je mnapenda wasichana wa-play hard au wale wanaokubali haraka????
2.Mnavyokuwa mmewaacha wasichana,waga mnaumia ile msichana anavyokuwa anakutafuta unamchunia,simu hupokei,email hujibu,nyumbani unawaambia waseme haupo??
3.Waga mnataka nini hasa kwa msichana,yani focus yenu kubwa ni nini,sex,feelings,company au ni nini?
Natumai maswali si mengi sana.
Kama avatar yako ina depict looks zako, I bet you, it will take me not less than a year before I get fed up of you depending on how you rock me! Come on now, don't shy way now!
Michelle.......haya maswali uliyowauliza kina kaka ni magumu na kwa kweli kupata jibu straight huwa ni ngumu na mwisho some of the majibu yao au reactions zao tunazichangia sisi wenyewe.............
1. Why wanabadilika after ku-do: Inategemea na jinsi Do yenyewe ilivyokuwa (Utashangaa nikikwambia hii haihusiani na kuwa mrahisi wa kumchojolewa wala nini). Unaweza ukakutana naye leo na kesho ukajikuta umechojoa!! Kama game ilikuwa exciting na mdada umejua namna ya kuifanyia haki ule usemi wa 'First impression is the one which lasts' basi atarudi tena na tena na tena. But unaweza ukamzungusha mwaka na siku unachojoa ukayavurunda ..hutomsikia tena. Si it depends na mdada mwenyewe how you handle the situation- che muhimu jua basics za kumfanya astick ambazo zinaapply kwa wanaume wote na zile specifics za yeye anataka/pendelea nini.
2. Hakikisha unatoa full package.........some challenging ideas (asikuone we mwanamke sura tu) Cheza kwenye anga zake show your brain (If you dont have one, buy time to borrow). HAve that sense of humour, be cheerful and an entertainer (Do not overdo though).
3. Mnapokuwa hamko pamoja dont overshadow him with mijimessages, simu kila saa as if he is already committed to you ........na hapo atakapoamua kuuchuna (sometimes huwa wanatutega by just creating the gap) nawe kaa kimya........usinchoke na cm au sms za mbona hupokei simu zangu mbona vje.....mpe space.
But sikatai, some are just jerks
Nikiwa mwanaumue kamiali hakika nimeguswa na the way ulivyochambua.Upo sahihi kabisa. Haya kazi kwako michelle