Mimi kama mwanamke nimepitia mengi,kama mshauri pia nimepitia mengi
Naomba mnisaide tu maswali yafuatao:
1. Ni nini waga kinabadilika kwa wanaume wengi baada ya kufanya mapenzi na msichana,wasichana wengi wanalalamika baada ya kufanya mapenzi mnabadilika na wengine hamuonekani tena????what goes wrong? Je mnapenda wasichana wa-play hard au wale wanaokubali haraka????
2.Mnavyokuwa mmewaacha wasichana,waga mnaumia ile msichana anavyokuwa anakutafuta unamchunia,simu hupokei,email hujibu,nyumbani unawaambia waseme haupo??
3.Waga mnataka nini hasa kwa msichana,yani focus yenu kubwa ni nini,sex,feelings,company au ni nini?
Natumai maswali si mengi sana.
Try me! you might find me to be different babe!

Dada Michelle
Kiukweli, bora usubiri mpaka uolewe ndo ufanye hii kitu. Unajua, sisi wanaume wengi, tunapo waangalia wasichana wengi, huwa na imagination fulani kichwani kutokana na ulivojipangia kuwa huyu, lazima yuko vizuri katika mambo fulani. Sasa wakati huo ukiendeshwa na vyote vitatu ulivovitaja, sex, feelings etc, unakomaa na huyo mdada ili awe rafiki yako hata kama itakuchukuwa muda mrefu. Tatizo huwa linatokea pale ambapo, siku unamgegeda, kile ulichokitarajia kwamba yuko hivi, unakuta siyo (Yaani unaweza ukakuta pengine dada ana maji mengi kule ndani na wewe huyataki hayo). Au unakuta yeye binafsi anatoa harufu mbaya wakati unamgegeda, sasa wanaume wengi wakisikia hiyo harufu, hasa mimi wakati bado sijaoa, wanakimbia kabisa.
Kwa hiyo, suala kubwa hapa, huwa ni matarajio ya mtu anapokuwa anamtongoza mdada, kile anachofeel akutane nach. Akikuta siyo, huwa wanakula kona wanaume wengi. So bora usitoe hadi muoane kwani pale hakuna ujanja, mtu atakuwa amelinywa tayari. Ila ukitaka kujiachia jamaa aone uchi, then maamuzi yatabaki kwa jamaa mwenyewe kama karidhika na hiyo mbunye au la!
Michey.... Kimeelekea with a dot~com err !! hakika nimekiAdmire 1000 meanings !Ha ha ha ha ha......sawa Zamiluni....kiswahili chetu hivyo hivyo tu tunaenda.
Mimi kama mwanamke nimepitia mengi,kama mshauri pia nimepitia mengi
Naomba mnisaide tu maswali yafuatao:
1. Ni nini waga kinabadilika kwa wanaume wengi baada ya kufanya mapenzi na msichana,wasichana wengi wanalalamika baada ya kufanya mapenzi mnabadilika na wengine hamuonekani tena????what goes wrong? Je mnapenda wasichana wa-play hard au wale wanaokubali haraka????
2.Mnavyokuwa mmewaacha wasichana,waga mnaumia ile msichana anavyokuwa anakutafuta unamchunia,simu hupokei,email hujibu,nyumbani unawaambia waseme haupo??
3.Waga mnataka nini hasa kwa msichana,yani focus yenu kubwa ni nini,sex,feelings,company au ni nini?
Natumai maswali si mengi sana.
Kama analala kama gogo unamwamsha tu jamani kwa upendo ambao ulimuonyesha kabla hadi ukamfikisha hapo kitandani.Maswali ni mengi japo mimi nadhani kimsingi wanaume tunakuwa na high expectations wkt mwingine, kuna mwanamke ukikutana naye undani. Kudadadeki huwezi kuomba mechi tena. Hiyo ni sababu moja.
Sababu nyingine ni kutaka kuwa na experience ya huyo labda anaonekana ni mkali so lengo linakuwa ni kutia sign kwamba nawe ulifika mitaa hiyo.
Mengine ni ya mwanamke mwenyewe ukimkuta analala kama gogo kazi kuitikia tu mapigo hamsiadii mwenzake unategemea nini hapo? Piga chini
Michey mpendwa niwieradhi nipe wasaa hadi pakizinduka kesho kwetu usiku mwingi.... zaidi ya 10 ntakupa!!Hizo 1000 meanings....ndio zipi tena Zamiluni? Kumi tu naomba
Michelle.......haya maswali uliyowauliza kina kaka ni magumu na kwa kweli kupata jibu straight huwa ni ngumu na mwisho some of the majibu yao au reactions zao tunazichangia sisi wenyewe.............
1. Why wanabadilika after ku-do: Inategemea na jinsi Do yenyewe ilivyokuwa (Utashangaa nikikwambia hii haihusiani na kuwa mrahisi wa kumchojolewa wala nini). Unaweza ukakutana naye leo na kesho ukajikuta umechojoa!! Kama game ilikuwa exciting na mdada umejua namna ya kuifanyia haki ule usemi wa 'First impression is the one which lasts' basi atarudi tena na tena na tena. But unaweza ukamzungusha mwaka na siku unachojoa ukayavurunda ..hutomsikia tena. Si it depends na mdada mwenyewe how you handle the situation- che muhimu jua basics za kumfanya astick ambazo zinaapply kwa wanaume wote na zile specifics za yeye anataka/pendelea nini.
2. Hakikisha unatoa full package.........some challenging ideas (asikuone we mwanamke sura tu) Cheza kwenye anga zake show your brain (If you dont have one, buy time to borrow). HAve that sense of humour, be cheerful and an entertainer (Do not overdo though).
3. Mnapokuwa hamko pamoja dont overshadow him with mijimessages, simu kila saa as if he is already committed to you ........na hapo atakapoamua kuuchuna (sometimes huwa wanatutega by just creating the gap) nawe kaa kimya........usinchoke na cm au sms za mbona hupokei simu zangu mbona vje.....mpe space.
But sikatai, some are just jerks