Wanaume nimewavulia kofia

Wanaume nimewavulia kofia

"muishi nao kwa akili" hili neno lingekuwa poa sana kama wanawake tungeambiwa tuishi na wanaume kwa akili na sio vice versa
 
Jamaa mmoja ambaye ametangulia mbele za
haki, alikuwa na michepuko kadhaa, na baadhi
yao kumbe alishazaa nao. Inaelezwa kuwa
jamaa alikuwa jumla na watoto 6 wa nje ya
ndoa, kila mmoja akiwa na mama yake. Wanne
kati ya hao walikuwa wakike, na wote aliwaita
Doreen. Sawa na binti yake wa kwa mke wa
ndoa. Jamaa baada ya kufariki, wazazi wenzie
nao wamejumuika msibani, basi vilio ni kwa
kwenda mbele, kila mmoja analia "weeeee baba
Doreen weeee". Mke wa ndoa na watu wa
karibu wakajua ni Doreen wa mke wa ndoa.
Ila sasa, kila watu wa karibu wakipepesa
macho, wanashangaa, mbona hawa wala sio
wa mtaani kuwa wanamjua baba Doreen? Si
wakajitosa kuuliza!! Ndipo yakaja julikana ya
kuwa kumbe Doreen anayetajwa sio wa hapo
nyumbani msibani, bali ni kina Doreen wengine
ambao wako wanne na kila mmoja ana mama
yake!! Watu wameshikwa butwaa, mama Doreen
wa kwenye ndoa, taarifa zilipomkuta naye
kazimia. Shughuli za maziko zimesimama kwa
muda sasa.
Jamani....... kweli huku michepukoni
kunatufunza ujanja mwingi, ijapo mwishowe
ndio kuumbuka namna hii.

Kuna mzee mmoja alikuwa mwanajeshi wa JWTZ. Yeye huyu alikuwa anahamishwa hamishwa sana vituo vya kazi. Sasa kila mkoa aliokuwa akienda anakuwa na michepuko yake kadhaa. Akipata 1st born wa kiume na hao michepuko yake,basi jina analotoa ni "Maganga".
 
Hujawatendea haki akina Baba Doreen, siku nyingine wavulie na Kyupi kabisa ili tupate Doreen wa 7.....
 
kwaio na baba yako pia ni choko.?

unajua neno choko linamaana gani.? au ndio jazba inatawala akili zako.
Ukiona mnyoya keshaliwa kwa mkopo huyo. Hahahahhahaa chezea baba Doreen wewe
 
hii inankumbuasha rafiki yangu judy.
bwanake marehemu ngapasa anamwambia amfanyie assignment ana kazi katumwa na baba yake kumbe yupi njiani anamrudisha dem dom baada ya kutanua weekend.
don kafika salama kurudi ajali wenzako hata bruises hawana yeye kafariki.
Msibani madem watatu wote wanamlilia ngaps simu sare kila akinunua kitu ananunua anapeleka aehwmu tatu.
Nyie ndo wanaume bana !!!
shikamooni
Marahaba. Week end nitakuja kumuona mtoto wangu naomba usitoke....
 
wanaume ni choko sana

unakuta anakwambia baby tufanye mpango nikupeleke kwetu nikakutambulishe

SHIKA SIMU YAKE UNAKUTA KAWAAMBIA KAMA 7 HIVYO HIVYO
Hivi kwa kukubali kudanganywa na machoko, nikisema wanawake ni machoko plus nitakuwa nimekosea?
 
hahahahah baba Doreen mtambo ..
 
jamani baba ridh nae mhhh c haba anao kama baba doreen.
 
Sasa msimamishe msiba ili mfanyaje? mumuulize maiti?.....busara ni kuzika kwanza mambo mengine baada ya kuzika....hao waliowauliza hao kina mama Doreen yupi nao wambea kupita maelezo.....there is nothing new under the sun.....

Mama Doreen Mkubwa aka Mke halali kazimia, je waendelee NA maziko?
 
Back
Top Bottom