miss wa kinyaru
JF-Expert Member
- Aug 28, 2012
- 542
- 356
Wakati huyo Tumaini anaambiwa hayo yooooote, Je alikuwa ni single lady? au alikuwa tayari ana agano na mtu mwingine?
"Basi bana, Mrembo Tumain akavunja uhusiano na Boyfee wake wa siku nyingi ambaye walikuwa wakipendana saaaana!"
Mungu anapotaka kukufunza huwa hashuki yeye mzima mzima kuja huku duniani wala kutuma malaika, wakati mwingine hutumia mizungu yake...
Namna pekee ya kumpata Tumaini ilikuwa ni lazima umpe maneno matamu ya kuhitaji ndoa na hilo ndilo lilikuwa tundu bovu ambalo ndege mjanja Tumaini alinaswa...
She showed wideopen her desperation na mwindaji Maneno alilijua hilo na kulitumia kama advantage kwake...
Mambo haya huwa yapo, chamsingi ni watu kujifunza juu ya thread hii, mara nyingi wanaokuja kwa ndoa ndio wabaya hata kuliko wanaokuja kimapenzi, mtu akijua tu unapapatikia ndoa basi ndio wimbo atakao kuja nao.
Inapaswa watu tujifunze kuwa na msimamo kama umesema no mpaka kitu fulani basi iwe hivyo. Tena mwanaume ukimnyima mpaka hatua ya mwisho atakukubali zaidi kuliko kuwa kigeugeu. Ndoa kama ipo ipo tuu na kama haipo haipo tuu ila msimamo unahitajika katika mahusiano.
Daddy Hapo kwenye bold ulipasoma!
Wadada wezangu wakati mwingine msijiwekee malengo ya ndoa kwa mtoto wa mwanamke mwezako, kwa vile sex ni afya wakati mwingine toa for fun kama likitokea la ndoa basi kama akiingia mtini sema hata wewe ulikuwa unatafuta sex ya kukutolea stress. wala hukuwa na mapenzi nae, hutapata maumivu yoyote. Halafu utashangaa ndoa itakuja bila kutegemea tena kipindi ambacho hata ulikuwa hujawaza kuingia kwenye ndoa.
Nilipasoma sana douta...
Afu nakutafuta kuleeeeeeeeeeeee...... Tukutane basiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!
Hizi hadithi ni deal kwenye magazeti pendwa, wewe unazitoa hapa bila malipo !!! Tumia kipaji chako, usikikalie.
Ni kweli rafiki, kuna watu wanafanya hivyo na hao ni wanafiki, na mtu kama huyo si wakuoa haijalishi kakupa ama la, mtu anayefanya usaliti kwenye mapenzi si mtu mzuri maana hata kwenye ndoa atafanya vivyohivyo, wazuri huwa hawaishi cha msingi ni kuridhika na uliyenaye madamu mnapendana kwa dhati. Mapenzi ni zaidi ya ngono, kuthibitisha hilo ni pale tafrani litakapotokea seriously, hata hamu ya ngono kwa mwenza wako unaweza usiwe nayo ila kama mko peace utajiskia mhitaji wa tendo kia wakati. Maoni yangu yalilenga wadada wanaojitunza na kumaanisha, hakika wanakubalika na wanaume wenye akili japo wasiojitambua wanaweza kuwakejeli.Hapo kwenye BOLD mkuu.... Kuna ambao wananyimwa mpaka ndoa huku kuna kidume kinagegeda mpaka asubuhi..... hahahaaaaaa, mwanaume gani atakubali?????
Hiyo inaitwa akili ya kazi...
aya ni matusi ya rejareja mkuu..
Hivi, kuna haja gani ya kumwaribia mwenzio mipango yake ya maisha? sasa Amani baada ya hapo alipata faida gani? Kwa mwanaume mtu mzima mwenye akili zake timamu hawezi kufanya hivyo. Mimi ninavyoelewa wanafunzi hasa wa sekondari ndo wenye tabia hizo za kutafuta sifa za kijinga. mwanaume mwenye tabia hiyo mpaka utu uzima wake hata ukiolewa nae ni matatizo matupu manake bado hajitambui yeye ni nani. kama anaweza kupoteza muda wote huo just kulala na mwanamke tu ili kumkomesha! lazma atakutia hasara kwenye mambo mengi sana.
Hiyo inaitwa akili ya kazi...
Hahahaaaa... Haya bana!