Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,390
Arushaone kaanzisha hostel ya wake zake....siamini Lady doctor kauingia huu mkenge...wewe ulikuwa wapi kumnusuru...Lady doctor aliolewa na huyu mtu anaitwa Arushaone,huna habari!!!!!!!
wako busy na harakati za kwenda Ikulu 2015,ila atakuja tu
Aliyekwambia tunatumia mabasi nani? Muulize Heaven on Earth kama tumeshawahi kutumia usafiri huo nikiwa naye.We Heaven on earth, huyu grafani11 ''atashuka shinyanga'' halafu uje ujilaumu. charminglady, keshasema hapo juu...
hajawahi kukuambia hayo Heaven on earth na hebu muulize kwa nini huwa kuna baadhi ya sehem hawezi kukupeleka maana anajua huko ni wanted
Yaani wewe Malkia wangu Heaven on Earth hujui tu jinsi gani unawaumiza walimwengu hata hivyo unavyoanza kuniita ukianza na neno Babe. Wangependa hata uanze kuniita ukianzia na tusi.
Hivi kumgegeda mwanamke ni kumkomesha eenh?
Naona Mr Rocky anajaribu kutimiza ahadi yake aliyoniambia kwamba lazima ampate mwanamke wangu kwa gharama yoyote. Ngoja nione kama atafanikiwa kwa Malkia wangu Heaven on Earth huyu huyu ambaye wapo hata wazungu walishindwa kumng'oa yeye atamuweza.
ndo maana mimi nasemaga mtu atoe tu mapemaaa tena bure kabisa...ndoa kitu gani bwana...
Unawezaje kum-bebisha mke wa mtu hivi hivi mbele ya mwenye mali.We bebi Heaven on earth, huyo mringie tuu.... Mambo yote iko huku
Ka honeymoon ka aina gani hako? AU unaongelea ile sherehe yetu tuliyokualika ya kutimiza miaka kumi na tano ya ndoa yetu?Mwone tuu hivyo hivyo na upole wake ameficha makucha tuu kwa sasa na anasubiri ka-honeymoon kako na yeye kaishe aanze michakato yake grafani11 balaa sio kidogo Heaven on earth
grafani11 mimi huwa sitoi matangazo au kurudia rudia kama matangazo ya habari za vifoo enzi hizo redio tanzania ila mimi ni kimya kimya nikiamua hutajua ila ni vile tuu nakuheshimu mkuu wanguNaona Mr Rocky anajaribu kutimiza ahadi yake aliyoniambia kwamba lazima ampate mwanamke wangu kwa gharama yoyote. Ngoja nione kama atafanikiwa kwa Malkia wangu Heaven on Earth huyu huyu ambaye wapo hata wazungu walishindwa kumng'oa yeye atamuweza.
Miaka kumi na tano ya ngumi na mateke na visa kila siku umemfanya Heaven on earth apoteze uzuri wake kwa ajili ya visa vyakoKa honeymoon ka aina gani hako? AU unaongelea ile sherehe yetu tuliyokualika ya kutimiza miaka kumi na tano ya ndoa yetu?
Arushaone kaanzisha hostel ya wake zake....siamini Lady doctor kauingia huu mkenge...wewe ulikuwa wapi kumnusuru...
Mpaka sasa hivi mimi na Heaven on Earth bili yetu imefikia bei gani? Mr Rocky nitamlipia pale tu atakaposhinda na kumchukua Malkia wangu kama ataweza.